Recent content by Elimwami

  1. Elimwami

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Njia gani nyingine ya kutoa fedha kwenye account ya nmb bonus account bila kupanga foleni ndan ya benki?
  2. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Hahahaaa😂
  3. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Hahahahaaaaa 😂😂
  4. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Geita ni vyema ukapanda parachichi inaitwa x-ikuli au nabal inavumilia kidogo joto lakn pia unaweza ukajaribu hass maana kuna watu wamepanda hass Mwanza.
  5. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Parachichi - Fahamu Aina, Namna ya Kulima na Masoko

    Karibuni jamani kuwekeza kwenye parachichi; cha muhimu usikurupuke. Ni vyema ukapata ushauri wa wataalamu kabla ya kupanda ili usije kujuta baadae ni zao la muda mrefu (perrenial crop) na lina mbinu zake za utunzaji (Good agriculture practices- GAP)
  6. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bible App Kanisani na mitazamo hasi

    Kikawaida simu zetu tunazitumia kwenye mambo mengi maovu km kuangalia porn,kutext michepuko ,matusi nk na hata kama hufanyi hayo lakin utakuwa umewahi kupokea mawaidha maovu kwenye simu yako halafu unaitumia na kanisan kama kitabu kitakatifu sipingi sana ila kama unajua unafanya hayo...
  7. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Dah ajira ni ngumu jamani kuipata,hata kidogo ukikipata ushukur umati wote post 70 na bado wengine hawakwenda.
  8. Elimwami

    JamiiForums Tanzania Waliomaliza form 6

    Jamani najua mnaendelea na ujazaj wa form za loan board but kuna hili la TCU, je ni bora utume elf hamsini kwa njia ya NBC bank au ununue vocha CRDB kote ni elfu hamsini?Na mda wa kushughulika na TCU ni saiz au baada ya matokeo?nawasilisha!
Back
Top Bottom