Recent content by elikundamoshi

  1. E

    Picha: Gari ndogo binafsi yagongana na basi la abiria na kuua wawili

    Hapo umesema vyema sana.hakuna nayejua kama alikua amelewa au la.je kama ni wifi yake alikua anakunywa je?au kama ilikua imeachwa tu kwenye gari na mtu mwingine je.
  2. E

    Picha: Gari ndogo binafsi yagongana na basi la abiria na kuua wawili

    Yawezekana hata hakua amekunywa jamani.kukutwa na bangi kwenye gari sio lazma uwe unavuta bangi.unaweza kua umembeba abiria wako anayevuta.
  3. E

    Gari inaungua muda huu maeneo ya Makumbusho

    Dah mkuu umetoa elimu nzuri sana.kumbe tuna walimu humu humu kwenye jf.
  4. E

    Shirika la ndege Tanzania nimeamini lipo stable

    Na nyie muwe waelewa wakuu.mtoa mada ana akili.wewe usifikirie kijuu juu tu kwamba lengo lake ni hilo ulilofikiria.panua uwanja wa uelewa wako zaidi ndipo utakapomuelewa anamaanisha nn
  5. E

    Kusafiri safari ndefu kwa kutumia toyota passo

    Kile kina cc 900 mkuu.kama hatabeba mizigo mingi hakitachemsha hata kidogo
  6. E

    Kusafiri safari ndefu kwa kutumia toyota passo

    Katafika vizuri mkuu.kama unaamilimi uzima na usalama wake.Ila c unajua kina cc 900 tu,usibebe mizigo mingi kwa ajili ya milima ile.kitachemsha sana mkuu.safari njema.
  7. E

    Barabara za jiji la Arusha zinakera sana

    Yani utafikiri ulikua town leo kwa jins palivyokua na jam kubwa.yani tumekereka sana kwa sababu unakuta ni dereva mmoja tu wa daladala anahamua kupaki gari njian ili apakie abiria.ole wako umsemeshe.walivyo wababe sasa .utafikiri wameweka serikali yetu mifukoni mwao.
  8. E

    Wazee wa Dar es Salaam ni akina nani?

    Kwani ni kigezo gani kinachotumikaga kupata wazee wa dar?na wanafanya kazi gani?au wapogo tu kusubiria kuitwa na rais.
  9. E

    Kongamano kubwa la vijana Arusha

    Kongamano hilo limeanza lini.hadi lini.vipi huduma za malazi kwa watakaotoka mbali.naomba utupe full information mtumishi.
  10. E

    TRA kubadilisha namba za pikipiki inagharimu sh ngapi?

    Kweli mkuu hivi viwango vya TRA bado havijaeleweka vizuri.mara wengine wasema ni elf 18 wengine 80
  11. E

    Kampuni ya Simu ya Tigo Ni ya Mwanasiasa Gani Mbona Haifukuzwi kwa Huduma Mbovu?

    Naona Huu mtandao umeleemewa saana na wateja wengi. haswa hapo dar es salaam ulipoanzia.
Back
Top Bottom