Kongamano kubwa la vijana Arusha

lobikoki loti

Member
Dec 5, 2014
69
27
Kongamano limeanza rasmi mada mbalimbali zinaendelea hapa Chuo cha Theolojia oldonyosambu.Vijana kutoka sharika zote za Dayosisi ya kaskazini kati.
 
Kongamano hilo limeanza lini.hadi lini.vipi huduma za malazi kwa watakaotoka mbali.naomba utupe full information mtumishi.
 
Back
Top Bottom