Tunawwza tukaamini kua hakuna hata mmoja, ila Mungu peke yake, Maana yake ni kwamba wapendwa Hali ya sasa inatisha, sio kama zaman, sasa tumeanza kuogopana, tunabaguana na kudharauliana, kwa sasa mtu akiumwa anaogopwa na wenzake, kisa wanahisi no Kovid 19.
Muujiza mzuri kuliko vyote ni Kuamka...