Recent content by ELIHUDI

  1. E

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu sasa hivi...

    Jamani watanzania wenzangu sasa naona umefikia wakati inatubidi tubadilike. Tupigeni kazi ilamradi tuna vigezo vya kupiga kura tunavyo vitamhukumu kila mmoja kwa kila anachokifanya. Kujitamba kwenye mitandao sio ishu. Kenya wenzetu, marekani wakimaliza uchaguzi wote wanajenga nchi yao bila...
  2. E

    JamiiForums Tanzania TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    haleluya nawakubali ile mbaya yani!
  3. E

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye Mkutano wa Baraza la Katiba Ulioandaliwa na CHADEMA

    sema hutaki sio hatutaki ndio wale wale
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    itaeleweka tu! Nani ni -------- mr!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Vijana 69 waitosa CHADEMA Mbeya

    Wasepe.....kwani 60 ni ktu gani ktk jamii hii iliyofumbuliwa macho? I know we can lets unite as one!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa Makambi ya vijana wa CCM na kinachoanzishwa na CHADEMA

    Hahahahahahahahahahaha.......mkuki.....kwa......malizien!
  7. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kenya aidharau Tanzania

    Ukweli mtupu. Tunafanya mambo polepole ndo mana wenzetu wanatumia hii loop hole. Thanks waziri kwa kutuambia ukweli!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Mimi nahsi hawa waheshmiwa wakae chni wajtasmin coz majanga yanaanza hvi hvi kwa maneno
Back
Top Bottom