Jamani watanzania wenzangu sasa naona umefikia wakati inatubidi tubadilike. Tupigeni kazi ilamradi tuna vigezo vya kupiga kura tunavyo vitamhukumu kila mmoja kwa kila anachokifanya. Kujitamba kwenye mitandao sio ishu. Kenya wenzetu, marekani wakimaliza uchaguzi wote wanajenga nchi yao bila kujali itikadi. Sasa tujengeni nchi pamoja mpaka 2015. Big up to you all wana jf