Vijana 69 waitosa CHADEMA Mbeya

Vijana 69 waitosa CHADEMA Mbeya

Huu ndio mwanzo wa mwisho wa chadema.,kwa matendo yanayofanywa na chadema hapa nchini hivi sasa ya uvunjifu wa amani na umwagaji damu watanzania wameshawachoka na wanataka kurejea katika amani yao kwa kuikataa chadema na kila chao.
 
Wasepe.....kwani 60 ni ktu gani ktk jamii hii iliyofumbuliwa macho? I know we can lets unite as one!
 
Tukianza kupost idadi ya magamba wanaohama ccm kila siku, jf itajaa post hzo tu, waache wakasaidiwe walipoona panawafaa,kwani buku saba nayo ni ela
 
Ni wakati wa vijana kuongeza maarifa. binafc siamin km unaweza kujiunga na chama fulan kwa7bu ya kuahidiwa jambo.
 
kwa ninacho faham moja ya wajibu wa mwanachadema zpo nyuma ya kadi ni kuwa tayari kupambana na namna yoyote ya uonevu,
 
yakila mwaka na kwa michango mingineyo inayoamriwa na vikao vya chama. kwa maelezo haya sidhan km walikuwa na kadi.
 
Kwa maana hiyo bac hapakua na uelewa na chama walichojiunga hence hapakua na mapenzi na chama. m4c haiitaji watu hawa..!
 
Chadema Kata ya Mwakibete, jijini Mbeya imepata pigo baada ya vijana wake 69 kuamua kukitosa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Vijana hao walisema wamefikia uamuzi huo baada ya Diwani wa Kata hiyo, Lucas Mwampiki (CHADEMA) kushindwa kukisaidiankikundi chao kama alivyoaihidi kwenye kampeni zake, licha ya kumfuata mara kadhaa kumuomba msaada na kumkumbusha juu ya ahadi yake.

wakizungumza mbele ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Dk Mary Mwanjelwa walisema Diwani Mwampiki amekuwa kikwazo kwao katika kujiinua kiuchumi na kuondokana na Utegemezi.

Karibu katika ID nyingine, Ndo wale mliowanunua? au zile kadi bandia za CHADEMA mnazojipigisha picha, CCM hamna chenu mnahangaika sana lkn wananchi wa sasa wameamua
 
Chadema Kata ya Mwakibete, jijini Mbeya imepata pigo baada ya vijana wake 69 kuamua kukitosa chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Vijana hao walisema wamefikia uamuzi huo baada ya Diwani wa Kata hiyo, Lucas Mwampiki (CHADEMA) kushindwa kukisaidiankikundi chao kama alivyoaihidi kwenye kampeni zake, licha ya kumfuata mara kadhaa kumuomba msaada na kumkumbusha juu ya ahadi yake.

wakizungumza mbele ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Dk Mary Mwanjelwa walisema Diwani Mwampiki amekuwa kikwazo kwao katika kujiinua kiuchumi na kuondokana na Utegemezi.

Kumbe wao waliweka mapenzi kwa Diwani na si Chama, watu wengine hamnzo ni bora wameondoka kwani nimzingo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom