Recent content by EliHMasi

  1. E

    VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

    Mimi nalia na Mwanzilishi wa Taifa hili.Aliliacha Taifa na katiba mbovu.Maamuzi makubwa ya nchi yanaamuliwa na Mtu mmoja .USA mkenya alipewa kuwa Rais(Obama) walijuwa kuna mifumo thabiti ya kulinda mali asili zao.
  2. E

    Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Na akiri yako timamu kweli unapinga Elimu ya VETA
  3. E

    Rais Samia Suluhu, kufungua mipaka wananchi tunaishi kwa shida

    Naunga mkono Serikali, Watz sisi tunasehemu nyingi za kilimo, wengi hatulimi, hii kufungua mipaka ni nzuri, Mwakani itawaamusha wengi waingie katika kilimo. Nchi nyingi zinazotuzunguka zinategemea Tz. Badala nasisi tuitumie hii kama fursa tumelala. Mwakani mimi binafsi namuomba Mungu tu...
  4. E

    Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

    Madarasa mangapi yamejengwa kwa Force Account?Madarasa mengi yamejengwa kwa force account.Kwa hiyo faida ni kubwa kuliko madhara.
  5. E

    Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Wafanyabiashara wa Mafuta wanamhujumu Mama, Mbona nchi ya Malawi imethibiti awamu hii mafuta kutokupanda bei, source MERA maintains fuel prices. Wasaidizi wa Mama wafanye kazi yao pia. Siyo wanapandishe bei, ili wapate Faida kubwa. Pia wananchi wapewe taarifa. Jamani eeeh mzigo umepanda bei...
  6. E

    Tuwaepuke wanasiasa wanataka kutuletea ukabila kupitia uChifu

    Kabisa, Walikuwa wakibebwa na watu wanne. Kipindi hicho hamna magari, hao watu wanakuwa kama tyres (magurudumu) kwa Sasa.
  7. E

    Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Hii Wizara bora angepewa tu Prof Muhongo, Huyu ndiyo alianzisha Sera ya umeme kutokatika ovyo.
  8. E

    Mkurugenzi Wilaya ya Chamwino acha tabia ya kuwapiga Watumishi wa chini yako!

    Mpigwe tu , baadhi ya watanzania wavivu mno na hampo serious
  9. E

    Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

    Serikali imekopa 1.3 imeenda direct kwenye mashule na vituo vya afya. Ndugai amamaind. Mpigaji huyu. Hataki wananchi wanufaike, watoto wa some. Alishazoea kuwazuga wananchi wa kongwa huku akifurahia umasikini wao.
  10. E

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Ni muda mwingi sasa umepita, viwanda vya ndani vimeshindwa kukizi hitaji la ndani. Toka sukari ipande kuwa 3000 kwa kilo imeshindikana kushuka. Hoja yako naiunga mkono kwa bidhaa ambazo si za lazima Sana kwa mahitaji ya kila siku.
  11. E

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Kulingana na Hali ya maisha ya watz, sukari haitakiwi kuzidi 1500 kwa kilo. Wewe binafsi unanufaiki nini na sukari kuuziwa na wazawa sh 3000 kwa kilo? Ni nonsense kweli kweli. Hao wazawa wa chache wanazidi kuwa matajiri, lkn wananchi walio wengi wanaumia
  12. E

    Kauli za kuwaita mawaziri wapumbavu ama nonsense zitafutwa na Katiba Mpya

    Kulingana na Hali ya maisha ya watz, sukari haitakiwi kuzidi 1500 kwa kilo. Wewe binafsi unanufaiki nini na sukari kuuziwa na wazawa sh 3000 kwa kilo? Ni nonsense kweli kweli. Hao wazawa wa chache wanazidi kuwa matajiri, lkn wananchi walio wengi wanaumia
  13. E

    Mnada mali za Makamu wa Rais Equatorial Guinea, Teodoro Nguema: Urais Afrika ni mtamu kwa marais kama hawa

    Tatizo ni Elimu, Unakuta huko kuna wafuasi wa Rais huwaambii chochote dhidi ya Rais huyo.
  14. E

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Shinyanga kuna dhahabu ya kumwaga, nazani ndiyo inaongoza kwa dhahabu kwa Kanda ya ziwa, hasa wilaya yake ya kahama. Pia Ina madini mengi ya Almasi pale Mwadui, Mkoa wenye Almasi nyingi pekee ni shy hamna mkoa mwingine. Inatakiwa iongezee kabisa kwa pato. Pia wanalima pamba kwa wingi kama zao...
  15. E

    Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    Safi Sana kiongozi, wewe kweli una uchungu wa kweli na watanzania
Back
Top Bottom