Na mengine yaliua watu a kufunga watu kwa kesi za kuunga unga ili yapite bila kupingwa. Hii laana haina mwisho.Madaraka yanawapa kiburi.Ila acha yaparuane yenyewe kwa yenyewe maana hayakuingia madarakani kwa kura halali Bali wizi.

Daah! Prof Mkenda kadhalilishwa mpk namhurumiaWataendelea kutukanwa sana. Maan hawajielewi
Kwa njaa zake hana ubavu wa kujiuzuluDaah! Prof Mkenda kadhalilishwa mpk namhurumia
Hakika upo sawa ,pia watu tusipinge kila kitu ujinga utatumaliza ,tupinge kwa hoja na vitu vya maana.Sasa unazuiaje sukari nje?, Kwani matokeo yake hujayaona? Viwanda vichache, bei ikapanda hadi sukari ikawa adimu kupatikana, acha mataifa mengine yajaze sukari nchini ushindani uwe mkubwa bei iwe chee!
Mama yupo sahihi kwenye hili.
Vifaranga mlivyochomaKwahiyo kuchomeana bidhaa kwenye mipana na kuzuia chakula kisiende upande wa pili Kuna make sense??
Vifaranga vile vilichomwa kwa maagizo ya jiwe !Vifaranga mlivyochoma
Ikifika swala.la udikiteta utasikka wakiimba Afrika ni moja. Jiwe alikuwa anamchukia Uhuru Kenyatta kwa sababu alim-host Lissu.Vifaranga vile vilichomwa kwa maagizo ya jiwe !
Huu ni ushetani ,unachomaje vitu hai kwa chuki tu??? Na kwanini mipaka inafungwa kwa minajiri ya urafi wa wachache???
Africa ni moja na wote ni Ndugu walio tenganishwa na mkoloni.
Utakuwa under 18 wewe. SitakujibuKuhusisha Katiba na mambo ya kijinga huwa inatia hasira sana, yaani suala dogo ili la Rais kumwajibisha waziri wake unataka katiba mpya? unataka Rais amuombe? ili hali kakosea?
Tatizo lipo how huo ulinzi is going to make changes! Wanafaidika hao hao mawazir wazalishaji na mawakala wao tu! Kwanza afadhali mama kasanuka! Ma dc na kamati zao walikuwa wanaenda kutajirika kwa rushwaDaah! Mkuu ulinzi wa bidha za ndani unafanywa hata na mataifa makubwa. Sembuse hii dona kantre??
AKOME! KWANZA ALIZULUMU UCHAGUZ 2020Daah! Prof Mkenda kadhalilishwa mpk namhurumia
Kweli ajiuzulu kama ni mimi mkurya ningemtoa mtu machoProfesa anazo sababu nzito za kujiuzulu, ili kulinda heshima yake, sijui bado anangoja nini?
Ungesikiliza alichokisema huyo Waziri usingeandika ulichoandika. Ilikuwa ni msimamo wa Serikali wala siyo wa Waziri kuwa sukari itaagizwa tu na wenye viwanda kuziba pengo la sukari inayozalishwa nchini na mahitaji ya nchi. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali kumuita nonsense ni kuitukana Serikali nzima.View attachment 2027359View attachment 2027361
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
..kwasababu wenye viwanda vya sukari wamekuwa wakilalamika kwamba kuna uagizaji holela wa sukari, ambao unasababisha washindwe kuongeza uzalishaji ktk viwanda vyao.Ni kweli ila binafsi bado sijaelewa kwann wazalishaji ndo wapewe fursa ya kuagiza sukari nje kuziba gape la ndani la sukari kwa mujibu wa sheria na at the same time iwe ni illegal kwa ambaye si mzalishaji kuagiza sukari nje kuziba domestic gap market? Kwa anayejua
Kulingana na Hali ya maisha ya watz, sukari haitakiwi kuzidi 1500 kwa kilo. Wewe binafsi unanufaiki nini na sukari kuuziwa na wazawa sh 3000 kwa kilo? Ni nonsense kweli kweli. Hao wazawa wa chache wanazidi kuwa matajiri, lkn wananchi walio wengi wanaumiaUngesikiliza alichokisema huyo Waziri usingeandika ulichoandika. Ilikuwa ni msimamo wa Serikali wala siyo wa Waziri kuwa sukari itaagizwa tu na wenye viwanda kuziba pengo la sukari inayozalishwa nchini na mahitaji ya nchi. Waziri alikuwa anasimamia maamuzi ya Serikali kumuita nonsense ni kuitukana Serikali nzima.View attachment 2027359View attachment 2027361