Recent content by Eligi

  1. Eligi

    JamiiForums Tanzania Kwa aliepigika tu niuzie smart tv

    Kwa anayruza smart tv LG /Samsung 43" ani PM
  2. Eligi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Mbunge Selasini wagundua mtambo wa kuharibu mabinti Rombo

    Hatua nzuri, wasiishie hapo
  3. Eligi

    JamiiForums Tanzania Paul Gascoigne (Gazza) anasikitisha kwa kweli

    So sad, addiction ya alcohol na drugs zingine ni vitu vya kuepuka to the maximum. Marriage inahitaji vilevile a right choice, unless unaweza ukadata bila hata hizo DRUGS
  4. Eligi

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Madereva wa bodaboda

    Aisee! Ila walishafanya maamuzi, Too late to catch the train!
  5. Eligi

    JamiiForums Tanzania Napenda kumtahadharisha mh. Rais kikwete

    "Tuna uzoefu, tumejipanga, lazima tutashinda" Na maneno mengine yafananayo na haya. Kiukweli napata ukakasi!
  6. Eligi

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya pikipiki

    Mwenye kufahamu bei ya palser 200ns au 200rs au 200 ss anijuze please!
  7. Eligi

    JamiiForums Tanzania Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

    Hapo umenena vyema, maana hakuna namna nyingine!
  8. Eligi

    JamiiForums Tanzania Mathayo azomewa, awatusi tena wanaCCM wa Same

    Anadai hata asipochaguliwa atashinda. Nimeshindwa kabisa kumwelewa. Ahadi zake ni zilezile za "mkinichagua nitawaletea maji" Rushwa inadaiwa imekua kawaida kwake hasa maeneo ya milimani!
  9. Eligi

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Inawezekana!
  10. Eligi

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    TB-CCM katika ubora wake.
  11. Eligi

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Aiseeeeeeh! Kuna tatizo kwani? muda utafika
  12. Eligi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Aaiiish! Elimu imeendelezwa.....which country? Foolish me!
  13. Eligi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Ooooooooiih!
  14. Eligi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Rais wangu mpendwa analihutubia bunge ama anahutubia wabunge wa ccm ndani ya bunge?
Back
Top Bottom