Recent content by Elifuraha Longu

  1. Elifuraha Longu

    Kuonekana kwa mtu mweusi kwenye filamu ya Yesu

    Hakuna video ya Yesu duniani. Huyu aliyeigiza filamu ya Jesus ni mwigizaji Wa uingereza na muvi hii ya Jesus imerekodiwa mwaka 1977.
  2. Elifuraha Longu

    Biashara ya kuku wa kienyeji

    Kuku wanalipa sana, kama wewe unafanya biashara elimu si muhimu kivile lakini kama utafuga elimu inahitajika.
  3. Elifuraha Longu

    Biashara ya kuku wa kienyeji

    Ujasiriamali kwanza. Mfanyabiashara wa kuku au mtu yeyote anayehitaji kuku wa kienyeji naweza kumpatia, size utakayo wewe. Nipo Arusha. Kwa anahitaji aniPM au nipigie kwa simu namba; 0689531349
  4. Elifuraha Longu

    Nina hisia kali na mwanamke mwenzangu

    Masiyara tu hayo, wewe kama unataka kusaga na huyo mdada amua maana unaonekana hauna msimamo. Yaani hii dunia Duuu!!
  5. Elifuraha Longu

    Nataka kumuacha mke wangu

    Bro usimwache mke eti kisa ameonesha tabia ya upotevu wa nidhamu, basi kama sisi tuliooa tungekuwa kama tungea kila wiki na kutimua, pls usimwche mkeo kaa nae vzr atabadilika
  6. Elifuraha Longu

    Nataka kumuacha mke wangu

    Bro usimwache mke eti kisa smeonesha tabia ya upotevu wa nidhamu, basi kama sisi tulioa tungekuwa kama tungea kila wiki na kutimua, pls usimwche mkeo kaa nae vzr atabadilika
  7. Elifuraha Longu

    Nahitaji mtoto

    #Mzizi_mkavu uko wapi?
  8. Elifuraha Longu

    PICHA: huyu ni rais wa wapi!!

    Sina historia kamili, lakini huyu raisi hajawahi kuja Tanzania wala rais wetu hajawahi kumtembelea
  9. Elifuraha Longu

    Faida na madhara ya kuwa na jini

    Kiukweli mimi ni mkristo na kwenye maandiko ya biblia hakuna sehemu iliyoandikwa kuhusu habari za maJini, ndo maana nikaandika topic hii kufahamu zaidi juu ya viumbe hawa.
  10. Elifuraha Longu

    Faida na madhara ya kuwa na jini

    Masharti hayo yana madhara gani kwa binadamu, mkuu
  11. Elifuraha Longu

    Faida na madhara ya kuwa na jini

    Nimatumaini yangu wanajamvi wote hamjambo. Nimepitia baadhi ya thread humu jf pia nimesoma vitabu mbalimbali kuhusu viumbe maJini, jinsi ya kuishi nao na kumtumia kupata mali na utajiri, pia wanasema kuna jini wema na wabaya, majini wema hawana madhara kwa binadamu ila majini wabaya huwadhuru...
  12. Elifuraha Longu

    Ugumu wa maamuzi ya kumfuata mwanamke Phillipiness, Naomba ushauri

    Kaka usiwe na maamuzi ya haraka katika jambo hilo. ila nitakushauri hivi; wewe nenda maana riziki mafungu saba, lakini uwe na kiasi cha pesa ambazo mambo yakikaa vibaya unaweza kutumia kwa nauli ya kurudi nyumbani Tz. Kila la kheri kaka.
  13. Elifuraha Longu

    Upatikanaji wa Tanzanite

    Habari wakuu... Ukiwa katikati ya jiji la Arusha utawakuta wamasai wengi wakiwa wanafanya biashara ya Tanzanite huku baadhi yao wakiwa na magari ya kifahari ikionesha dhahir kuwa biashara hiyo inalipa. Kwa waliowahi kufanya huwa zinapatikanaje machimboni Mererani na huuzwaje gramu1?
  14. Elifuraha Longu

    Jinsi ya kununua na kuuza hisa

    Habari wanaJF. Nataka kuingia kwenye biashara ya Hisa, lakini sina ufahamu zaidi kuhusu soko la Hisa. Ningependa kufahamu mimi niliyeoko mkoani nitanunuaje Hisa za DSE na natakiwa kuwa na kiasi gani cha pesa. Shukran.
Back
Top Bottom