Faida na madhara ya kuwa na jini

Faida na madhara ya kuwa na jini

Nimatumaini yangu wanajamvi wote hamjambo.

Nimepitia baadhi ya thread humu jf pia nimesoma vitabu mbalimbali kuhusu viumbe maJini, jinsi ya kuishi nao na kumtumia kupata mali na utajiri, pia wanasema kuna jini wema na wabaya, majini wema hawana madhara kwa binadamu ila majini wabaya huwadhuru binadamu.

Lakini ni kweli binadamu anaweza kuishi na hawa viumbe hatari?

Karibu tujadili kwa pamoja!

Hamna jini mzuri hata siku moja usidanganyike!! Tangu lini shetani anajema na binaadamu?
Judging by your name nafikiri wewe ni mkristo je kwenye biblia wameandika wali kuwa majini ni wazuri?!

Hamna jema wala cha bure kwa shetani wala majini wake
 
Hamna jini mzuri hata siku moja usidanganyike!! Tangu lini shetani anajema na binaadamu?
Judging by your name nafikiri wewe ni mkristo je kwenye biblia wameandika wali kuwa majini ni wazuri?!

Hamna jema wala cha bure kwa shetani wala majini wake

Kiukweli mimi ni mkristo na kwenye maandiko ya biblia hakuna sehemu iliyoandikwa kuhusu habari za maJini, ndo maana nikaandika topic hii kufahamu zaidi juu ya viumbe hawa.
 
Kiukweli mimi ni mkristo na kwenye maandiko ya biblia hakuna sehemu iliyoandikwa kuhusu habari za maJini, ndo maana nikaandika topic hii kufahamu zaidi juu ya viumbe hawa.

[h=1]What does the Bible say about demons?[/h]
Question: "What does the Bible say about demons?"

Answer:
Demons are fallen angels, as Revelation 12:9 indicates: "The great dragon was hurled down-that ancient serpent called the devil, or Satan, who leads the whole world astray. He was hurled to the earth, and his angels with him." Satan's fall from heaven is symbolically described in Isaiah 14:12–15 and Ezekiel 28:12–15. When he fell, Satan took some of the angels with him-one third of them, according to Revelation 12:4. Jude 6 also mentions angels who sinned. So, biblically, demons are fallen angels who, along with Satan, chose to rebel against God.

Some of the demons are already locked "in darkness, bound with everlasting chains" (Jude 1:6) for their sin. Others are free to roam and are referred to as "the powers of this dark world and . . . the spiritual forces of evil in the heavenly realms" in Ephesians 6:12 (cf. Colossians 2:15). The demons still follow Satan as their leader and do battle with the holy angels in an attempt to thwart God's plan and hinder God's people (Daniel 10:13).

Demons, as spirit beings, have the ability to take possession of a physical body. Demonic possession occurs when a person's body is completely controlled by a demon. This cannot happen to a child of God, since the Holy Spirit resides in the heart of the believer in Christ (1 John 4:4).

Jesus, during His earthly ministry, encountered many demons. Of course, none of them were a match for the power of Christ: "Many who were demon-possessed were brought to him, and he drove out the spirits with a word" (Matthew 8:16). Jesus' authority over the demons was one of the proofs that He was indeed the Son of God (Luke 11:20). The demons who encountered Jesus knew who He was, and they feared Him: "‘What do you want with us, Son of God?' [the demons] shouted. ‘Have you come here to torture us before the appointed time?'" (Matthew 8:29). The demons know their end will be one of torment.

Satan and his demons now look to destroy the work of God and deceive anyone they can (1 Peter 5:8; 2 Corinthians 11:14–15). The demons are described as evil spirits (Matthew 10:1), unclean spirits (Mark 1:27), lying spirits (1 Kings 22:23), and angels of Satan (Revelation 12:9). Satan and his demons deceive the world (2 Corinthians 4:4), promulgate false doctrine (1 Timothy 4:1), attack Christians (2 Corinthians 12:7; 1 Peter 5:8), and combat the holy angels (Revelation 12:4–9).

The demons/fallen angels are enemies of God, but they are defeated enemies. Christ has "disarmed the powers and authorities," and He has "made a public spectacle of them, triumphing over them by the cross" (Colossians 2:15). As we submit to God and resist the devil, we have nothing to fear. "The one who is in you is greater than the one who is in the world" (1 John 4:4).

Recommended Resources: Unseen Realities: Heaven, Hell, Angels, and Demons by R.C. Sproul and Logos Bible Software
 

mkristo mmoja hajaona biblia imeandika kuhusu mashetani! mwingine anatufundisha biblia inasemaje kuhusu shetani!!, swali, nini maana ya jini na shetani?
 
Mimi naona kuna kuongopeana humu ikiwa mtu anasema jini kukuingia haruhusiwi inakuaje wale wanaoingiwa na majini kisha huamliwa kwenda mskitini au kanisani je wale majini tuwaiteje?
 
Majini kama binadamu tu Kuna wakorofi na wastarabu Mana nao waliumbwa kumuabudu Mungu
 
wanajamvi aman ya bwana iwe juu yenu samahanini sana nilikua bize na mambo fulani ya kimaisha ila nawajulisha tu kuwa wale wote walionipa pm zao nimezijibu leo.shukrani zote ni kwa m.mungu muweza wa yote.
 
Back
Top Bottom