Kuonekana kwa mtu mweusi kwenye filamu ya Yesu

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Wadau hii filamu ya yesu Kuna sehemu jamaa Black kaonekana Sasa najiuliza miaka 2000 iliyopita kule Israel mtu mweusi alifikaje fikaje jamani halafu kitu kingine ninachojiuliza ikiwa Yesu alikua anajifunika hadi kichwanj na kuvaa nguo ndefu sasa mbona siku hizi makanisani heshima hakuna Hasa kwa upande WA wanawake wanavaa nchunchumio,kichwani mawigi kibao SIELEWI JAMANIII
 
Huwezi kujua kwa sababu akili huna, utasomaje uelewe ? Utaambiwaje usikie unachojua wewe ni kuvaa gauni jeupe na bakuli kichwani ndio mavazi ya heshima
 
Wadau hii filamu ya yesu Kuna sehemu jamaa Black kaonekana Sasa najiuliza miaka 2000 iliyopita kule Israel mtu mweusi alifikaje fikaje jamani halafu kitu kingine ninachojiuliza ikiwa Yesu alikua anajifunika hadi kichwanj na kuvaa nguo ndefu sasa mbona siku hizi makanisani heshima hakuna Hasa kwa upande WA wanawake wanavaa nchunchumio,kichwani mawigi kibao SIELEWI JAMANIII

Israel ni nchi iliyo katika jangwa.Jangwani lazima uvae kilemba uwe mwanaume au mwanamke uwe mkristo au mwislamu sababu ya vumbi linalopeperushwa upepo,pia watu huvaa viatu kama makobasi sio viatu vya kufunga sababu ukivaa vya kufunga mchanga utajaa kwenye viatu.Mtu akiingia nyumba ya mtu yeyote anatoa makubasi yake na kunakuwa na birika la kutawazia miguu kwani inakuwa imejaa mavumbi ya mchanga.

Huyo mtu mweusi ni SIMON MKIRENE muethiopia.Kulikuwa na mwingiliano sana wa waafrika na waisrael wa Ethiopia kibiashara na kijamii
 
kwani Israel ilikuwa utumwani wapi halafu kwenye biblia kuna maeneo mengi tu duniani yametajwa including Africa continent.
 
Weusi walikuwepo pia, hasa walitoka maeneo ya Ethiopia na Sudan.
So ni sawa tu ulipo muona.
Miaka mingi kabla ya Yesu Mfalme Suleiman alitembelewa n Malkia wa Sheba huyu alitoka pande za Ethiopia na alikuwa mweusi, so kipindi cha Yesu wanaweza kuwa waliekuepo kabsa.
 
Umeshasema filamu kwani ww unaamini ile filamu imechezwa miaka 2000 iliyopita? Au unaamini yule Yesu wa kwenye filamu ndio wa kwenye biblia?
 
Wadau hii filamu ya yesu Kuna sehemu jamaa Black kaonekana Sasa najiuliza miaka 2000 iliyopita kule Israel mtu mweusi alifikaje fikaje jamani halafu kitu kingine ninachojiuliza ikiwa Yesu alikua anajifunika hadi kichwanj na kuvaa nguo ndefu sasa mbona siku hizi makanisani heshima hakuna Hasa kwa upande WA wanawake wanavaa nchunchumio,kichwani mawigi kibao SIELEWI JAMANIII

Wewe ni mtu wa leo na wa majungu sana....umesema mwenyewe kuwa miaka 2000 iliyopita Yesu na watu wa Enzi zile walikuwa wanavaa nguo ndefu.....leo hii ni 2017.....ulitaka watu wavae vile? Kwa taarifa yako, ukanda wa Afrika Kaskazini walikuwa wanaishi waafrika weusi si waarab ila wazungu na waarab wanatuaminisha hivyo kufuta historia ya mtu mweusi. Wale waarab wa Afrika kaskazini walikuja kwenye karne ya 13 tena walikuja na kuwaua waafrika kwa kuleta dini ya kiislam kwa ulazima (crusade during Arab conquest in North Africa). Kwa hiyo ule ukanda wote wa Afrika kaskazini mpaka Isreal kulikuwapo na watu weusi, ukizingatia kulikuwa hakuna mipaka Enzi hizo.
 
Wadau hii filamu ya yesu Kuna sehemu jamaa Black kaonekana Sasa najiuliza miaka 2000 iliyopita kule Israel mtu mweusi alifikaje fikaje jamani halafu kitu kingine ninachojiuliza ikiwa Yesu alikua anajifunika hadi kichwanj na kuvaa nguo ndefu sasa mbona siku hizi makanisani heshima hakuna Hasa kwa upande WA wanawake wanavaa nchunchumio,kichwani mawigi kibao SIELEWI JAMANIII
Labda kitu ambacho bado haukijuwi na itakuchukuwa muda kuja kuukubali ukweli ni kwamba Yesu mwenyewe alikuwa black Man. Hii ni fact.
 
Hakuna video ya Yesu duniani. Huyu aliyeigiza filamu ya Jesus ni mwigizaji Wa uingereza na muvi hii ya Jesus imerekodiwa mwaka 1977.
 
Mfalme suleiman alikuwa mtu mweusi pia, hii ina maana israel ilikuwa na watu weusi wengi tu, sema wazungu wana tabia ya kuteka historia kama misri inavyoonekana saa hizi nchi ya waarabu wakati ilikuwa ya waafrika ie akina farao.
 
Haya mambo ili nafsi iweze kuelewa inahitaji angalau uwe memba wa lile jani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom