Recent content by ELIFAZI MTEMAZI

  1. E

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali irekebishe Kanuni hizi, zinatuzuia wenye Diploma za Medicine kusomea Degree

    Kwa hiyo vyuo vya Zanzibar wanaruhusu kusoma diploma in clinical medicine bila Kuwa na angala "D" ya hesabu csee? Hilo tatizo. Solution: Rudia Mtihani wa csee kama private candidate ili upate "D". The hard way but is the only way.
  2. E

    JamiiForums Tanzania Urithi mbaya wa Nyerere ni pamoja na Katiba hii mbovu tuliyonayo

    Kwanza kabisa siwezi kubeza mchango mkubwa wa Mwalimu Nyerere kwa Taifa letu,,ikiwa ni pamoja na kupigania uhuru yeye pamoja na wazalendo wengine pamoja na kutuunganisha Watanzania pamoja. Lakini kila kiongozi ana mazuri na mapungufu yake,:: Ifike mahali tujifunze na kujadili mapungufu ya...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Mafanikio, mapungufu na misingi ya taifa letu.

    Urithi mbaya wa Nyerere ni pamoja na Katiba hii mbovu tuliyonayo. Nyerere hakuamini kwenye Demokrasia ya matendo zaidi alikuwa na maneno tu. Kwa Nguvu na ushawishi alikokuwa nao angeweza kushawishi kuundwa kwa Katiba inayoruhusu utawala WA Kidemokrasia badala yake alitengeneza mazingira mpaka...
Back
Top Bottom