Recent content by Elicie

 1. E

  Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: Wagombea wa CCM kutoenguliwa ni suala la kutii Sheria

  Kama Bashiru amebadilika na kuwa hivyo alivyo unadhani wananchi hawawezi kubadilika na kwenda kupiga kura ya kumtoa magufuri madarakani?
 2. E

  Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

  Alisema tukimpa madaraka tutalimia meno.Hayo tumeona,Nakuhakikishia tukirogwa kumpa tena awamu hii tutalimia ulimi.Siwezi kushiriki dhambi hiyo.
 3. E

  Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

  Aende huko huko wanako muhitaji atuachie nchi yetu.
 4. E

  Barua ya wazi kwa mheshimiwa Tundu Lissu namba mbili

  Upo sahihi kabisa.Hapa tu familia yangu jana wamelala njaa na hadi muda huu sijui leo watakula nini.Hali ni mbaya utafikiri watu hatuna nguvu wala uwezo wa kufanya kazi.Inauma sana ninapowaangalia wanangu wamenyong"onyea kwa njaa.Hadi napoteza matumaini kabisa.
 5. E

  Uchaguzi 2020 Je, tunaafiki hili suala la kutokupiga kura? Lilitolewa na mgombea wa CHADEMA?

  Uchaguzi rahisi wakati unaona Mh.ameanza kupiga magoti na kuomba kura?
 6. E

  Uchaguzi 2020 Je, tunaafiki hili suala la kutokupiga kura? Lilitolewa na mgombea wa CHADEMA?

  Hivi kama unaona kichwa chako kimejaa upupu unatokaje hadharani na kuandika mambo ya uwongo?
 7. E

  Uchaguzi 2020 Salaam kwa Watanzania wote Kupitia JamiiForums - Tunaomba kura zenu za Ndio mumpe Tundu Lissu

  Mimi na familia yangu pia rafiki zangu wamenihakikishia hatutarudia makosa ya 2015, kura zetu kwa Lisu.
 8. E

  Uchaguzi 2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

  Kwani hao waliotekwa ,risasi akina Lisu siyo damu?
 9. E

  Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

  Kwani wale polisi wanaoua watu wanatumwa na Chadema?
 10. E

  Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

  Hata akichukua dola milion 50 siyo mbaya cha msingi tuondokane na huyu kaburu mweusi
 11. E

  Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

  Mbona tunawachekelea kwa kupokea misaada yao?
 12. E

  Barabara ambazo hazipitiki kutokana na mvua ya leo Dar

  Nikitafakari juu ya Mafuriko Dar, Nikitafakari juu ya Moto katika mlima kilimanjaro, Nikitafakari juu ya Watu kutekwa, kupigwa mapanga,kupigwa risasi kwa Lisu;Nikitafakari juu ya yanayoendelea kwenye kampeni.Nikitafakari juu Ya maamuzi ya vyombo vyetu vya usalama Naona wazi Mungu ana jambo...
 13. E

  Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

  Wanalia basi?Wanashangaa wanaume wanapofanya mambo ya kipuuzi.Wameishiwa hoja mpaka wafanye vitendo vya kigaidi ndani ya Tanzania?
 14. E

  Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

  Ukisikia ujinga wa kiwango cha uchumi wa kati ndo huu.
Top Bottom