Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Bowie

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
4,118
2,000
Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Amsterdam ni wakili tapeli Rais Putin wa Russia alimkosakosa kumfunga. Kwa kifupi ada ya huyu wakili kunauwezekano unalipwa na makampuni makubwa yenye maslahi na Tanzania.

Who is Robert Amsterdam?
 
Bupa2009

Member
Sep 15, 2020
60
125
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Lakini pia tukumbushe viongozi wetu kuwa mifano bora hasa katika kuwaunganisha watanzania badala ya kutumia kauli mbali mbali za KUWAGAWA WATANZANIA.

Kama kupigana vita basi tunapaswa kuungana ili tupambane na adui yetu ambaye kwa muktadha wa bandiko lako ni huyu U.S.

Kiukweli, mfumo wa sasa umeligawa Taifa kwa ITIKADI za kivyama, dini, na ukabila ukilinyemelea Taifa.

Katika hali hii, tunampa nafasi adui yetu ya kutuchonganisha, vongozi wetu waambiwe UKWELI.

Ifahamike kuwa kazi ya viongozi/uongozi si KUWAGAWA watu, ni kuwaunganisha watu ili maendeleo yanayodaiwa yapatikane.

Kauli za viongozi wetu, unyanyasaji wa wazi wazi unaofanywa na tabaka tawala dhidi ya watawaliwa na wenye mitazamo tofauti ni dhahiri shayir vinapsawa KUKEMEWA KWA NGUVU ZOTE.

LAZIMA TUPENDANE, TUSHIRIKIANE, TUAMINIANE, TUSHIKAMANE ili tuwe wamoja na kuepukana na adui yeyote, awe wa ndani au wa nje ya nchi anayeweza kupenyeza sumu ya kutugawa na hatimaye kuingia katika machafuko yasiyo ya lazima.

NB; KUHUBIRI AMANI HALI YA KUWA HATUTENDEANI YALIYO YA HAKI, ni sawa na kuitaka pepo hali ya kuwa unaogopa kifo
 
Attachments

 • FB_IMG_15738140058083180.jpg
  File size
  62.3 KB
  Views
  0
 • FB_IMG_15751759883399953.jpg
  File size
  223.1 KB
  Views
  0

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
6,429
2,000
We need equal right n justice. Sisi kwa sisi hatuwezi kupigana haya siku moja. Ugomvi wetu utakuwa ni sisi na polisi ambao wanataka kuwaweka madarakani watu ambao hatujawachagua. Mimi nadhani Hali Kwanza amani baadae. Kwani tutaishi milele?
 
Elicie

Member
Sep 26, 2020
43
125
Unaambiwa huyo Amsterdam kesi moja anachukua USD 4 million hata hawajiulizi Tundu lisu kazitoa wapi...Happ Happ Amsterdam Kampuni anayotokea ipo Canada barick gold ya Canada na na ndege yetu kesi yake ilianzia canada
Hata akichukua dola milion 50 siyo mbaya cha msingi tuondokane na huyu kaburu mweusi
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
8,829
2,000
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
Us beberu mbabe wa madictor
 
AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,828
2,000
Tanzania ya kijani inakuja.Siku ya kijani inakuja. Magufuli mbele kwa mbele.
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,563
2,000
Wewe unahangaika bure na lichama lenu la kijani kibichi CCM , Yaani sisi tutashirikiana na yeyote yule mradi Jiwe na CCM watoe madarakani bila kujali consequences .
Screenshot_20201014-171145.png
 
MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,775
2,000
Mjinga wewe
Sitaandika mengi Leo,
Watanzania tujifunze kutoka Libya na pia tusisahau kufuatilia historia ya utajiri wa U.S.

Ila yangu ni haya,
Tusimsikilize U. S kwa lolote kwani U. S hajawai kuwa mtu mwema.
Huwa ni mtu wa ku take advantage nyakati za vita na nyakati za uchaguzi. Rejea vita ya kwanza ya dunia, vita ya pili ya dunia na vita za wenyewe kwa wenyewe katika nchi mbalimbali.

lakini pia msisahau kurejea hotuba zao kile kipindi cha mwanzo wakati China anapambana na corona huku wao wakichekelea kwamba uchumi wao utaoenda kupanda kwa kasi. Na wakawaahidi China watatengeneza dawa.

Hizi ndio dili za hawa jamaa kuuza silaha wakati sisi tumekorofishana huku wao wanachukua mali zetu.
Rejea Libya tuache ushabiki wa kuwashabikia angalia kizazi chako cha mbele.

Lazima tutumie mbinu zetu wenyewe kutoka nchi zilizo jipatia maendeleo kwa njia halali. Maendeleo yaliyopatikana kwa watu kufanya kazi kwa bidii.

Zipo nchi nyingi.
Na swala la maendeleo ni vitu ni muhimu sana kwani tunahitaji miundombinu imara ili watu wawe na maendeleo.
 
gimmy's

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
2,923

Unahangaika kwasababu ya uzembe wa mtu mmoja anaejiita jiwe,kama tanzania itageuka Libya basi chanzo ni yeye,raisi hawezi tenda ndivyo sivyo na wananchi wakae kimya kama mazombi eti kwasababu yatatupata kama ya Libya.
Huu utawala unaumiza sana wananchi kwa kisingizio cha maendeleo.watu wamefungwa hovyo,watu wameporwa mali zao hovyo,watoto wetu kuajiriwa mpaka nyakati za kampeni tena kilichotoka ni matangazo ya ajira tu,inawezekana kabisa ukiisha uchaguzi mchakato ukasimama.
Nakueleza huu ushauri umeshachelewa kiutoa kwani ulipaswa kumshauri jiwe asiendeshe nchi kama familia yake,ungemwambia aache kuendekeza ukabila,aache kupendelea usukumani kwani yeye ni raisi wa tz.
Ungemwambia sheria izingatiwe kwa wote kwani anaongoza kufanya matumizi ya pesa za uma bila kufuata budget iliopitishwa na bunge.
Kimsingi usitutishe unaendelea kutitia hasira tar 28 hawezi kusalimika
 
EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,178

Wewe unachuki binafsi. Tuache sis na Magufuli wetu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom