Uchaguzi 2020 Salaam kwa Watanzania wote Kupitia JamiiForums - Tunaomba kura zenu za Ndio mumpe Tundu Lissu

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,078
2,000
Unajua hakuna kama Lisu,
Hata CCM hapa mtaani wanamkubali sana na wanasema wanavaa sare kusindikiza maiti tu.
 

Nzambe

Member
Sep 12, 2020
60
125
duh!
humu kura zote ni kwa Lissu.
isipokuw walanchi wachache tu na MARAGA.
kikubw pita kaya kwa kaya kutoa elimu.
hasa vijijin.
na watu wenye uelew mdogo.
 

Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
463
500
Wanajamiiforums, fikisheni salamu hizi kwa kila Mtanzania mpiga kura bila ya kujali itikadi ya chama chake kwani kama ni CCM huenda akaiona haki na yeye akatamani kutenda haki. Haki ambayo inahubiriwa na Tundu Lissu ,ya kuwa Mashehe wote wakiislamu walioko magerezani bila ya hatia yeyote anahakikisha anawaachia huru, mara moja.

Ni neema ilioje kwa ambae si Muislamu kutoa kauli hiyo hadharani jambo ambalo Mashehe kanzu na vilemba wa BAKWATA wameshindwa hata angalau kuwataja, Kwa Muislamu na mpenda amani bora Lisu kuliko hawa mashehe ubwabwa wa Bakwata wanatutia aibu waislamu.

Kura za Ndio kwa Mtakatifu Tundu Lissu.

Wajulishe na waTanzania wapenda amani ujumbe huu kupitia JF unawafikia na kuamshana CCM itakakoelekea inanjinjiwa huko huko mara hii haelekei mtu kibla... kichinjio changu nimekificha ila kila siku nakitazama kama kipo, maana Chakubanga na Abushiri ni wachawi.
Umekula Chai Maharage Umeshiba Sasa Unaaanza kuagaiza Visiwezekanaa yani Nani anampigia Kura Kibaraka NI MAGUFULI TANO TENA
 

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,078
2,000
Umekula Chai Maharage Umeshiba Sasa Unaaanza kuagaiza Visiwezekanaa yani Nani anampigia Kura Kibaraka NI MAGUFULI TANO TENA
kweli Kibaraka ni Magufuli ,vipi dili ya dhahabu na baric nasikia sasa kampuni inapata asilimia semanini na Tanzania inapata ishirini tu,.
Turudi kwenye kampeni.
Tatizo umedumazwa kimawazo miaka 54 ya kutawaliwa na chama kimoja sio masihara,mpaka sasa chama kimekuwa wanarithishana utafikili hii nchi CCM wameachiwa urithi.

Kwanza mpaka hapa tulipo kama huna habari CCM imeshaangukia pua,makonde anayopiga Tundu Lisu yamewavuruga CCM hawajuani nani yumo na nani hayuumo wamebaki kutishana.

Kushindwa ni mtihani unahitaji mwalimu wa saikolojia la si hivyo CCM mtaokota makaratasi majalalani.
 

Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
463
500
kweli Kibaraka ni Magufuli ,vipi dili ya dhahabu na baric nasikia sasa kampuni inapata asilimia semanini na Tanzania inapata ishirini tu,.
Turudi kwenye kampeni.
Tatizo umedumazwa kimawazo miaka 54 ya kutawaliwa na chama kimoja sio masihara,mpaka sasa chama kimekuwa wanarithishana utafikili hii nchi CCM wameachiwa urithi.

Kwanza mpaka hapa tulipo kama huna habari CCM imeshaangukia pua,makonde anayopiga Tundu Lisu yamewavuruga CCM hawajuani nani yumo na nani hayuumo wamebaki kutishana.

Kushindwa ni mtihani unahitaji mwalimu wa saikolojia la si hivyo CCM mtaokota makaratasi majalalani.
Hahaha Tumewazoeza Tangu ezi za Lowasa Ushindi wenu Huwa Mtandaoni Hakuna Jipya LA kututisha Wan CCM sisi Time relax Tunasubili kuapishwaaa
MAGU TANO TENA
 

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,078
2,000
Tuzidi kutakiana kheri kwani adui CCM anaonekana kuanza kupoteza nguvu,sasa wanakusanya vyombo vya habari na kulisha vionjo vya uongo mtamu,ni dhahiri hawana tena jipya kwenye majukwaa ya wagombea wao.

Ni muhimu kuendelea kumshawishi jirani,rafiki na hata katika gathering za social media ,kuwa yako ya ndio ipeleke kwa Tundu Lisu.
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,733
2,000
si mmesema ashashinda uchaguzi sasa mnaomba kura za nn tena, na mmefungua thread ya kumpa hongera kwa kushinda! cdm bana
mna safari ndefu sana ya kwenda
1601118247721.png
 

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,078
2,000
Nazidi kuwakumbusha na juhudi zenu zimesaidia sasa kwani Mheshimiwa Tundu Lissu kila anapofika na njia anazopita ,anawakuta wananchi wakimsubiri kwa hamu ya kupindukia,wananchi hawataki kusikia musiki wala ngoma ,wanataka kumsikia Tundu Lisu tu,

Wananchi wapo tayari kuiondoa CCM ,kwa umoja ambao Lisu anaendelea kumalizia kuujenga, CCM wamewekwa kwenye kona na hawana mtetezi, wasanii wao wamekata viuno mpaka sasa wanaonekana kushindwa na wamelegea.

Endeleeni kuhamasiha na kuupeleka ujumbe sasa ndani ya wananchi wanaomiliki kadi za CCM japo wameshachoka nayo,wabakie na kadi zao,wakipewa hela na ccm wazile,wakipewa sae wazivae lakini kura yao waipeleke kwa Tundu Lisu,nae Lisu ni mtu mzima mwenye akili atawafahamu.

Sasa hivi ukimkuta CCM mwananchi mwambie wakati na muda ndio huu.
 

majebere

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
4,784
2,000
kumpigia kura lissu ni kupoteza kura yako tu. Kama humtaki magufuli basi usipoteze muda wako wa kupanga mstari usubiri kupiga kura.
 

law healer

JF-Expert Member
Apr 2, 2019
511
1,000
Hadi kufikia sasa sijaona sababu ya kumchagua T. Lissu.

Inabidi nimpigie Magufuli tu,sasa nitafanyaje
 

Elicie

Member
Sep 26, 2020
43
125
Mimi na familia yangu pia rafiki zangu wamenihakikishia hatutarudia makosa ya 2015, kura zetu kwa Lisu.
 

Mhoza

JF-Expert Member
Aug 30, 2013
407
500
Ungalikuwa tajiri usingekuwa unamlamba Tund Lissu Mata.ko yake kwa kuanzisha sredi za kijinga ati amefuta ccm sijui wapi ili akuonee huruma Ili akukumbuke akirudi ubeleji baada ya kushindwa katika sanduku la kura 28/10/2020. Unatamani uzamie ili uwe houseboy wake. Kijana hujui kuwa TL ni mbinafsi na hawezi kuku kumbuka. Umaskini mbaya jamani
Umenena vema mkubwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom