SA sijui wametumia kiumgo gani kufikiri. Israel imezungukwa na nchi za Kiarabu za Algeria, Tunisia, Morocco, Misri, Libya, Lebanon, Uturuki, Syria, Iran,Saudi Arabia, Qatar, Yemen, Iraq...hizi zote malengo yao ni kulifuta Israel. October 7 Hamas waliwavamia Waisraeli na kuua watu 1,200 huku...