Recent content by eliaschars

  1. eliaschars

    Naiona Tanzania isiyo na Ugaidi na Ujambazi. CHADEMA waacheni polisi wafanye kazi zao

    Ulikuwa na hoja nzur lkn umeichanganya changanya ikawa ovyo!
  2. eliaschars

    Naiona Tanzania isiyo na Ugaidi na Ujambazi. CHADEMA waacheni polisi wafanye kazi zao

    Toa hoja ya kujenga taifa siasa zako hatuzitaki au unataka uteuz wa chama utakapofanyika upewe!
  3. eliaschars

    Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

    Mtu akifa amekufa hawezi kujua neno lolote hapa duniani wala kaburini (kuzimu) hivyo roho hutoka na nkisema roho maana yake ni pumzi, so hii pumzi haiendi pepon wala haiwezi kuingia kwa mtu yeyote wala hawezi kuzaliwa mtu na kuwekewa pumzi hyo, hivyo basi YESU anaporudi mara ya pili watu wote...
  4. eliaschars

    Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

    Makuja nyote naomba mnisubiri
  5. eliaschars

    "Nyie kapigeni kura najua jinsi CCM wanavyoiba kura mengine niachieni" - Lowassa na uongo wake

    Akili ni sawa na nywere, Lkn nikwambie ukipenda kujua vitu fatilia pande zote sio ukusanye kutoka sehem 1 urizike, hadi leo kuna vyama vinaidai serikali pesa kwa ajili ya uchaguzi hawajaripwa bado!
  6. eliaschars

    "Nyie kapigeni kura najua jinsi CCM wanavyoiba kura mengine niachieni" - Lowassa na uongo wake

    Jamaa alyeleta mada akifunze ukimya wa lowassa sio uongo
  7. eliaschars

    Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

    Wewe unaamini sijui, mimi nakwambia majibu yote ya maswali yako si sahihi, kasome upya!
  8. eliaschars

    Mbowe acha siasa za maigizo, UKAWA hamna akidi ya kumng'oa Naibu Spika

    Tulieni tuonje joto la jiwe mnatetea msichokijua
  9. eliaschars

    "Nyie kapigeni kura najua jinsi CCM wanavyoiba kura mengine niachieni" - Lowassa na uongo wake

    Leo pesa imekuwa adimu kuipata lkn vitu vinapanda bei nini faida yake?? Watu ambao hawajaoa hawana kiwanja hawana nyumba hana hata baiskeri unazani lini atakuwa na maisha mazuri ya kuachana na upaganji na kuwa na familia yake, hakika serikali hii isipobadili mfumo watanufaika wale waliotengeneza...
  10. eliaschars

    "Nyie kapigeni kura najua jinsi CCM wanavyoiba kura mengine niachieni" - Lowassa na uongo wake

    Mvumilivu hula mbivu huwezi kujua kwanini alikaa kimya pengine ni uzalendo wa wa nchi yake na wananchi wake, unahisi angepinga matokeo nini kingetokea??? Fikiri ya mbeleni sio ya leo tu!!!
  11. eliaschars

    Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

    Majibu yote ya maswali kimsingi wa vitabu vitukufu hayako sahihi hata kidogo fanya utafiti kwa umakini usipotoshe watu, JE UNAJUA MAANA YA ROHO????? ukijua mana yake tengua majibu yako yote!
  12. eliaschars

    Kwa faida ya watoto, ukitaka kuoa angalia uwezo wa akili wa mwanamke

    Mleta mada Sayansi yako ovyo wewe unaonekana ni kilaza mzuri, wanasayansi waliotangulia ambao si vilaza walishapinga hili la kurithi akili, so karisiti upunguze ukilaza!
  13. eliaschars

    Kushindwa kwa sera za CCM ndio chanzo cha umaskini wa Watanzania!

    Mleta mada na wachangiajia wanaokubaliana na mada ninyi ni vilaza tena wakubwa!
  14. eliaschars

    Nimeamini sisi UKAWA ni wasaka tonge tu

    Mleta mada fikir kabla ya kuleta mada au nawe ni kilaza
Back
Top Bottom