Recent content by ELIAS VALENTINO

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    huyo mwajiri wako atakuwa ni mhindi huwa wana tabia ya kuishia polisi hawawezagi kupoteza muda kwa kwenda mahakamani.
  2. E

    JamiiForums Tanzania NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    NIKO MBEYA NTAPATAJE ?
  3. E

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho

    atasema ,"haya wote kunja ngumi,pipo pawa " mlale salama.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Naombeni mbinu za kuushinda umaskini

    WAKATI WA MUNGU BADO,WEWE PAMBANA BWANA ATAKUTAJIRISHA KWA WAKATI WAKE.
  5. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina

    Aliyosema Mchungaji ni mambo ambayo yanaonekana ni yeye tu bw.Mbowe aweze kujificha.chama anadai ni cha kidemokrasia lakini ni mara ya 5 anang'ang'ana kwenye kichwa lazima ana jambo lake.na kwa taarifa yenu sasa mbowe ndiye mwenye kukiongezea ccm pumzi tangu zamani na kwa sababu hii ccm itadumu...
  6. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwabukusi: Tuna Vyama vya upinzani havijajiandaa kuwa mbadala wa CCM. Vipo kugaiwa neema ndogo ndogo kutoka CCM

    upinzani,ubabaishaji with poor combination.kila mara matamko mara maazimio mara maandamano with no any +ve impact.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rufaa yangu baada ya kufukuzwa kazi serikalini

    usihame,wenyewe ndiyo watahama kwa kuona aibu, ukikimbia wao watajiona washindi na mwisho wa siku wataendelea ku-apply huo ushetani wao kuwazingua wengine.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rufaa yangu baada ya kufukuzwa kazi serikalini

    Tuliza akili wao ndiyo wana jukumu kubwa la kuthibitisha tuhuma pasipo kuacha shaka.cha msingi kwako ni kucheza na akili zao uzuri moja wote kitaaluma ni walimu hatua zao ni chache.wataaibika na hakikisha unabaki kazini,nitakushangaa ikitokea umefukuzwa kazi na hao walala hoi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi wanafunzi wa shule za msingi za serikali kupewa chakula wale tu waliolipia pesa ya chakula na wengine kuzunguka zunguka tu nje?

    Walimu hasa wakuu kama siyo ni wapumbavu sana,wanawezaje kukaa na watoto ambao jikoni hawaendi kula kwa sababu hawajalipiwa michango wala nyumbani hawaendi eti ndiyo mbinu ya kumfanya mzazi alipe...wauaji wakubwa,unamshindishaje njaa mtoto mdogo asiyejua hili wala lile? Ualimu ni usenge tu.
Back
Top Bottom