Acha kukurupuka, Mahakama imekwambia Tanzania kuna aina mbili za ndoa, Ndoa ya wake wengi na ndoa ya mke mmoja, Marehemu alikuwa na ndoa ya mke mmoja, Na Vick aliolewa kabla ya mke hajafariki, Na mume hakumpa mkewe Taraka, Vilevile Mahakama ilimuuliza Mchungaji aliefungisha ndoa ya Vick alikana...
Zanzibar kuna biashara gani mpaka ijumuishwe? Meli yenye Contena 5,000 itashusha Zanzibar kwa biashara gani? Unajua mahitaji ya Zanzibar kwa Mwezi? Umejiuliza zanzibar inaingiza kiasi gani kwenye bandari zake? Haiwezekani mtu awekeze pesa nyingi halafu ale hasara, Kwani Rwanda, Burundi, Uganda...
Usikariri kumiliki pesa mpaka uwe msomi, wajasiria mali wengi wameishia la saba na form 4 wanamiliki pesa kuzidi hao wasomi, kuna vijana wameishia form 4 wana maisha mazuri na biashara zao kuzidi wasomi
Ifike kipindi mjitambue, ule ni mradi wa hovyo, dunia sasa hivi inapitia mabadiliko ya hali ya hewa. Mvua sasa hivi hazinyeshi, ule mradi wa gesi aliouacha JK ndio lilikuwa suluhisho la kudumu.
Kwa sasa mvua hazitabiriki
Kweli kabisa kwa Tanzania ndio ipo hivyo, na hata majuzi Ummy aliongea hilo kwamba watende haki wakati sheria inawabana watoe majibu kwa kuangalia ustawi wa mtoto,
Mbona kila Mwaka ofisi ya mkemia mkuu hutoa majibu ya jumla kuhusu DNA, Na mwaka jana ofisi ya Mkemia ilisema 45% ya Baba wanalea...
Sheria inasema majibu yatolewe kwa kuzingatia ustawi wa ukuaji wa mtoto, kwa muktadha huo lazima uambiwe wewe ndio baba wa mtoto kwani tayari sheria imewaelekeza hivyo, labda kama mpo wawili mnaogombea mtoto na pia lazima waangalie anaejiweza ndio anapewa mtoto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.