Recent content by Elias James

  1. Elias James

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya ukadiriaji tofali katika ujenzi

    Mfano kama haka !!
  2. Elias James

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya ukadiriaji tofali katika ujenzi

    Sorry mkuu me nauliza kwa mfano nyumba ya vyumba viwili kimoja master , Kuna public toilet, Kuna seating room ... Kwa makadirio ya haraka haraka huchukua tofali ngap za msingi? Na kuta Master ikawa na ukubwa wa M 4.... Msaada ?
  3. Elias James

    JamiiForums Tanzania Harmonize acha kutafuta public sympathy.Hii itakugharimu in long run

    Write your reply...ebu wakat mwingne soma Alicho kiandika mtu na uelew kwanza... Jamaa amejarbu kuelezea tu hali ilivyo na ni kwel... Ila hakuna sehem amesema harmonize hakusitahil kutoka no Lkn wabongo sas mnachosoma na mnacho jibu tofaut kbs kwan mna shida gan aseeeeee
  4. Elias James

    JamiiForums Tanzania Division 1.9 ya PCB ametemwa raundi zote mbili

    Ajaribu ata KCMC pharmacy watampokea
  5. Elias James

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke ambae ana mtoto tayari?

    Write your reply...Aseeee most of them wanayaelewa maisha vizuri zaid ya hawa wa siku hiz... Ila zaid kinacho mata ni upendo wenu tu pengne unaweza oa alf ww usiweze pata mtoto lakin huyo wa mkeo ndo akawa mwanao pia Just maisha tu
Back
Top Bottom