Recent content by Elias bosco

  1. E

    Je, Papa ndiye mrithi wa mtakatifu Petro?

    Asante, nimeona Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    Je, Papa ndiye mrithi wa mtakatifu Petro?

    Niunge kwenye hilo kundi namba ni 0763871648 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

    Pole sana Mheshimiwa Rais, Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
  4. E

    Ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner imeharibika kuanzia jana jijini Mwanza abiria tumeshindwa kuendelea na safari leo

    Kwanza ni kitu cha ajabu kuharibika ndege? Mbona tunakosa mawazo? Tubadirike jamani, kumbukeni hata nguo mpya inawezekana ikawa na dosari, kumbukeni hiyo ndege imesafiri toka marekani hadi Tanzania, jamani acheni kuwa na mawazo hasi kiasi hicho.
  5. E

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Sasa kama hautaki kuamuliwa usipositi kwenye mitandao ya kijamii tafuta ya pekee yako, sasa unaandika ukiwa katika hali ya hasira? Kwanza kama kujibalaguza sio mm Bali no wewe Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  6. E

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Wewe tumia lugha nzuri, kama wanaona wanaonewa mbona mahakama zipo? Na wewe usipotoshe watu, ukiulizwa ulichokikosa mpaka Leo hauwezi kukisema, najua lisu anauwezo mzuri kisheria anachokosea njia anayotumia sio nzuri, kwa nn hasiende mahakani? Labda akienda mahakama za atahisi hatatendewa haki...
  7. E

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Kama ni hivyo afadhari wabinywe wachache ambao ni lisu na wenzio kuliko wananchi wanyonge, cha msingi ni kufanya kazi kwa bidii. Na kama ni hivyo lisu aende mahakani majibu yatapatikana tu Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  8. E

    Zitto Kabwe aitafsiri kauli ya Lissu kama uhayawani

    Wewe ujitafakari kwanza, alichoongea zito ni sahihi kabisa, lisu ametumia jitihada gani? Kuna haja gani ya msingi kuharika wageni? Mbona haeleweki? Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  9. E

    Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Zigi zaga umeongea vyema, hilo ujue watanzania tulivyo, nilitegemea Tundu lisu atoe jinsia mbadala ya kuisaidia inchi yetu, Mara nyingi tundu yeye ni kuponda tu, sielewi sasa labda kwa sababu tunatofautiana uwezo wa kutoa mawazo. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  10. E

    Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Stroke uko vizuri, umetumia uwezo mkubwa ndugu yangu endelea hivyo
  11. E

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Mm naamini nyie mnatoa cotations kuwa mchungaji kasema, wewe unamwamini kiasi gani? Yeye ni binadamu kama sisi, Mimi naunga mkono akae kimya kafanya kazi kubwa mnoo ya kuokoa maisha ya vijana, mtakaa kimya na ataendelea kusafisha jiji
  12. E

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Kwanza kuwa na zero ni dhambi? Kama ni dhambi nyie munaohoji toeni vyeti vyenu tuvione, hayo yote kwa sababu kasimama na kujitoa kuhusu dawa za kulevya, lakini ukweli utabaki palepale kuwa kuna madhara makubwa, tuache ushabiki, tuache NECTA wafanye kazi
  13. E

    Kama ni kweli na ushahidi upo....

    Nyani ngabu umeongea vizuri sana, hao wenye ushahidi kuhusu Mr makonda waende mahakamani, badala ya kuendelea kuandika sana kwenye mitandao ya kijamii
  14. E

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Vijana wanakufa jamani, ukiwa unaunga mkono, RAFIKI, kaka na ndugu zako hawapatwa na hilo tatizo. Jamani tuache ushabiki
  15. E

    Makonda aporomosha matusi kwa mhariri wa gazeti baada ya kuulizwa kuhusu cheti chake cha Form four

    Wewe na mimi hatujui ndiyo maana hata hizo taarifa zinatolewa humu zinapingana zenyewe, kumbe nao wanatafuta njia ya kuchafuana. Kinachotakiwa kuangalia uhalisia wa mambo, kwa mfano madawa ya kulevya yanavyoharibu watu maana wengine walisema Hawaii suki kabisa baada uchunguzi wanakamatwa
Back
Top Bottom