Recent content by Elias Arusha

  1. E

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO:CCM tumtose haraka sana Mwigulu

    Mwacheni aendelee 'KUKIJENGA CHAMA'
  2. E

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia jimbo la korogwe mjini

    Ukigombea kwa magamba jiandae kuwapangishia wanao kwani nyumba utauza na bado ushindi hutapata.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mimi kupigana na Msigwa ni kutafuta kesi ya mauaji. sijashkana naye shati na sitaraji

    KWA KAULI HII WEWE HUSTAHILI KUWA HATA MJUMBE WA CCM SHINA LA TANDALE KWA TUMBO.ehe hebu tuambie mbali na mafunzo ya mabomu uliyopewa CHINA kauli yako pia inaonesha umefundishwa KUUA KWA MIKONO.Unamdhalilisha Ajuza CCM
  4. E

    JamiiForums Tanzania CUF kuandamana June, 29 hadi IKULU kupinga UKATILI LIPUMBA kuongoza, kupokelewa na KIKWETE

    Lazima watapewa Kibali na Polisi coz hawana Madhara Kisiasa,na pia kubalance malalamiko kuwa polisi inaminya demokrasia WATAPEWA WAANDAMANE ILI WENYE UONGOZI WAJISAFISHE
  5. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

    Mwigulu hasafishiki,muda si mrefu wana ccm watamwomba mwenyetikki wao amwondoe kunusuru pumzi la maiti ccm
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hakutakuwa na Kampeni za Uchaguzi Arusha ..

    Hata kama kampeni hakuna,ccm watafurushwa ile mbaya na cdm.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wana Jf wa Arusha wapo Salama?

    Pitieni pitieni ambao hawaonekani humu maana wengi wanaweza wakawa Majeruhi kufuatia mlipuko wa bomu,hatujuani kwa sura.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Kalale kwanza,Mungu ameshamuanika mwigulu na genge lake la Ccm
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba akana kauli yake

    tabu ya wadudu wa Unga a.k.a watu wa Njia ya vumbi mkishaingia mjini 'MNAPITILIZA',Ndugu kapime akili yako naona Ipo spidi zaidi hata ya 'NEWTON LAW'
  10. E

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa, CCM na Mtikila

    Mungu ana makusudi na mpango wa wananchi.Mtikila hiyo ndo biashara yake mjini.Ukimkatia kidogo hata kama mlikosana atakusafisha.
  11. E

    JamiiForums Tanzania M'NEC/CCM awataka wafanyabiashara mkoani Singida kujiunga na CCM ili kupata mafanikio

    Ili wakwepe kodi sio? Safari hii hata vimemo haviheshimiwa na wafanyakazi wa TRA,magamba mtashika wapi? Ccm wauaji wakubwa.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Re: Mhariri Habari leo: Tunaipongeza kauli ya Waziri Mkuu!

    Huyo moyo haumtumi kuandika ivo ila lazima vyombo vya serikali visambaze uharamia huo wa Pinda.Ila kuna siku atalia kuwa Alinukuliwa Vibaya
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe - Ushahidi wa Video kwa Tume huru ya kimahakama si polisi watuhumiwa

    Mwaka huu Chagonja na Mwema na akina Mwigulu Wanalo,wamekamatwa mbaya
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    ni kweli mkuu,Mwigulu ni wa kushtakiwa kwa Ugaidi huu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kasulu mjini Moses Machalli avamiwa na kupigwa na watu wasiojulikana!

    Kazi ya ccm haina Makosa.R.I.P magamba.
Back
Top Bottom