Natangaza nia jimbo la korogwe mjini

Natangaza nia jimbo la korogwe mjini

Please try to be specific
Hii ni JF, The Home of Great Thinkers.
Tuambie mambo haya kwanza:
1/Wewe ni nani, unafanya nini, uko wapi, una sifa gani nk?

2/Unataka kugombea kwa sababu gani?

3/Unataka kugombea kwa tiketi ipi, mgombea binafsi, chama kipi?

4/Nini unataka kusimamia kama utachaguliwa nk?
 
Yule Mganga wa kienyeji yupo Korogwe ipi vile?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ukigombea kwa magamba jiandae kuwapangishia wanao kwani nyumba utauza na bado ushindi hutapata.
 
[QUOuTE=Mavotah;6654940]Tuombe mungu,ipo siku nitasimama hapo[/QUOTE]

mkuu funguka zaidi tukusome ili tujue kama tunatoa support au vipi?
 
Back
Top Bottom