umenena la msingi,, mtu mwenye akili atasimamia ukweli hatatetea vyama vya siasa maana hivi vinaangalia maslahi yao sio maslahi ya taifa kwa ujumla,,, tufikilie kabla ya kujaji
HAHHHAAAA fikilia unachosema hii serikali imefanya nin kibaya kwa wananchi wake kama sio uchochezi huo,,, baada ya kusema tuwapinge wapinga maamuzi ya serikali ya kuleta maendeleo,,,hivi kama upinzani mungeingia madarakani MNGEFANYA NINI MAANA NINA WASIWASI MUSINGEFANYA CHOCHOTE KWA HAYA...
Democrasia nayo ikizidi pia ni tatizo hasa kwa watu wasio jua kuitumia kufanya shuguli za maendeleo badala yake wanataka kuandamana mitaani ili kupelekea hofu na vurugu mitaani HAWA WAPIGWE TUUUUUU
Hivi lakini ni nani anayeumia kati ya utawala wa chuo ulioambiwa ulipe pesa zilizotolewa kwa wanafunzi hewa ili pesa za field kwa mwaka huu zitolewe kwa wanafunzi wa vyuo husika au ni wanafunzi wa vyuo ambao tayari wako field tena mikoani mbali na kwao ambao bado hawajapata hizo pesa za...
UMETUKUMBUSHA KITU CHA MSINGI LAKINI KWA UZOEFU WANGU WANAFUNZI WENGINE WALIKUWA WAKIPANGIWA COMBINATION AMBAZO HAWAKUCHAGUA,, LAKINI NAONA KWA KIPINDI HICHI NECTA IMEJITAHIDI SANA KUPANGA KAMA MAOMBI YA WANAFUNZI YALIVYO TATIZO NI KWA WALE WENYE UFAULU HAFIFU..............
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.