Recent content by Elia F Michael

  1. Elia F Michael

    Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru

    Nilishamueleza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kakonko juu ya kusudio langu la kuacha kuwa mwanachama wa @ccmtanzania na kuwa mtu huru kwa sasa. Nilimueleza kwa sababu yeye ndiye alinisindikiza kwenda kuonana na Rais Magufuli kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam tukipokelewa na...
  2. Elia F Michael

    Ushauri kwa CCM-Tanzania

    Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri === UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA. Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027 Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba {Ufunuo 1; 9-14} akiwa katika kisiwa cha Patmo,vivyo hivyo nami ninawaandikia Watanzania hasa...
  3. Elia F Michael

    Tushiriki meza hii.

    CCM
  4. Elia F Michael

    Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

    Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
  5. Elia F Michael

    Kilo 5,5584 za pamba zimekamatwa zikiwa zimeuzwa kwa nija za magendo

    Leo tarehe 23/07/2020 nimekamata Kilo 5,584 za pamba Katika Kijiji cha NG'WAGALANKULU Tarafa ya Mondo Wilaya ya Kishapu zilizouzwa kinyume na utaratibu tena kwa kutumia mzani tofauti na kutunzwa kwenye nyumba ya mtu Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa zao hilo ambalo linatakiwa kuuzwa...
  6. Elia F Michael

    GE2020 Elia Michael: Nimejaza na kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania Ubunge Jimbo la Buyungu

    Nashukuru Mungu nimejaza na kuirudisha fomu
  7. Elia F Michael

    GE2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

    Ninakusudia kuchukua fomu ya Kugombea Ubunge. Safari hii ni Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa CCM Jimbo la Buyungu itawasaidia Wana CCM wa Wilaya ya Kakonko kuwa na Machaguo mengi. Kuhusu Ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais,hapo hakuna kazi...
  8. Elia F Michael

    Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

    "I will prepare ,and one Day my time will come" Abraham Lincoln. "Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika" Njia nzuri ya kuhakikisha ndoto yako inatimia ni kuendelea kujiandaa,ili itakapokuja ikukute uko tayari. "USIACHE KUJIANDAA" Wasalaam...[emoji1241][emoji122]
  9. Elia F Michael

    Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

    Nchi inayodai ni Superpower lakini yenye swaga za Karne ya 17
  10. Elia F Michael

    Naendelea kutoa huduma ya uongozi kwa wananchi wa Tanzania

    Katika kutembelea Vijiji vya Kishapu,wiki 2 zilizopita nilifanikiwa Kufika Kijiji Cha Seke IDIDI nikakutana na vyumba 3 vya madarasa na nyumba 2 za Walimu ambazoo zilijengwa miaka 7 iliyopita kwa nguvu za Wananchi kwa lengo la kuongeza Shule ya Sekondari ili kuwapunguzia Umbali Wanafunzi ikiwa...
  11. Elia F Michael

    Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

    Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa. Take it from me. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Elia F Michael

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimeipata Barua ya @zittokabwe aliyoituma kwenda Kwenye Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia. Nimekumbuka shambulio la maneno ya @zittokabwe aliyofanya kwa @tundulissutz kwa kumuita Zwazwa baada ya CHADEMA kusema kuwa Wataishitaki Tanzania inyimwe misaada kutoka kwa Wazungu. @zittokabwe...
Back
Top Bottom