Recent content by elhuruma7

  1. elhuruma7

    ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

    kweli we ni screpa Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
  2. elhuruma7

    ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

    katk TV station mbovu kabisa Tanzania ni TBC 2 clouds Tv na Chanel 10, hawana guiding programs, muonekano mbaya, sauti ndio ovyo kabisa. Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
  3. elhuruma7

    ITV 'Yahaha' baada ya viewers kupungua...

    nawasiwasi hujui hata jinsi yako wewe uliyetoa hii post. Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
  4. elhuruma7

    Lugha ya kiingereza ina mahusiano makubwa na ugonjwa wa presha

    mi nakumbuka nilimaliza mafunzo yangu katk kazi niliyokua nasomea, gafla nikaitwa kwenye company moja kubwa hapa mjini inajishuhgusha na masuala ya utalii, kilicho fuata nilipewa ramani, oxgen cylinder, na first aid kit huku projector ikiwa imewashwa nikaambiwa nitoe briefing kwa wageni kutoka...
  5. elhuruma7

    Msaada kwa hii simu yangu wakuu

    upo serious kweli na unachotaka kusaidiwa? nikitu gani hapo kinakuchanganya?
  6. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    nashukuru sana mkuu. but ninaufahamu mzuri sana wa madawa. kuhusu kua na Alegre sina hilo tatizo! pia sio mara ya kwanza kutumia hii dawa. ktk kumbu kumbu zangu sijawahi kutumia dawa yoyote ya malaria tofauti na malafin.ila najishangaa na hali niliyonayo sasa kwani nimetoka magamba kama nyoka.
  7. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    nashukuru mkuu. pia naendelea poa sana Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
  8. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    sina kaswende mkuu. nafikiri unajua dalili za huo ugonjwa!? pia sina mchepuko na sina show ya nje kabisa.
  9. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    unaweza analia hizo sehemu niliweka alama.
  10. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    juzi tarehe 7 nilianzwa kuumwa gafla mida ya ucku, ilioofika asubuhi hali ilikua mbaya sana! nilikwenda hospital na kufanya vpimo vya malaria, majibu yalikua nina malaria 3. niliandikiwa dawa ya malafin, nilitumia na kwenda nyumbani kupumzika,nashukuru nimepona but nimejikuta nimeungua kwenye...
  11. elhuruma7

    Chukueni tahadhari na dawa hii, TFDA na Wizara ya Afya mpo wapi?

    pole sana mkuu. nashukuru na wewe kutoa angalizo juu ya hii dawa. Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
  12. elhuruma7

    Hii ndo hali halisi leo Arusha

    kumbe waenda unapojisikia!!? vipi na wao kama walikua hawajisikia kama wewe? je huoni nao ndio wamejisikia.[emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom