Kusema T'Stars ni ya Chama fulani,,, ni fikra binafsi na ushabiki fulani...
Kujitekenya - ukacheka, ni mambo ya kilimwengu (raha jipe mwenyewe)., lakini kujifinya - ukalia, jua una tatizo.
Ulimwengu wa Soka ni mchakato, T'Stars ni yetu. MUNGU ibariki Taifa Stars. MUNGU ibariki TANZANIA