Shida watangazaji wetu ni mabomba ya kupitisha habari Yani Kila mtu alimsikia na kumuona nchimbi akisema pesa ni za kampeni sa huyo bananga na nchimbi ni nani LAST SAY
Swali la msingi ni yanga kutoa mil100 haijaingilia mambo ya kisiasa, kama ni ndio usiangalie ni nani anaishitaki yanga kwa maana fifa kuweka izo Sheria walikuwa na maana sana. Naomba zingatia swali la msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.