• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Elevat Kapela

 1. E

  NIKO KAHAMA! Nipeni Ramani

  Sogea hapo Club Chiller, ndo utaanza kuuona mji wa Kahama.
 2. E

  Msaada kwa wenyeji wa Kahama

  Marine Hotel
 3. E

  Zitto Kabwe; Mtetezi wa Buzwagi Hadi Mchumia tumbo wa Acacia!

  Nitarudi kusoma tena.
 4. E

  Ndugai: Tumeshamlipa Tundu Lissu

  Kwa Sasa amefahamu Lissu alipo? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. E

  Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

  Jiwe na wapambe wake wachache wanajua nini wanakitafuta kwa kununua wapinzani lakini ccm karai wanafurahia ununuzi huu ambao unaligharimu, utaligharimu taifa kwa miaka kadhaa. Lengo kuu la jamaa ni kuua upinzani na kuwa mtawala hadi kufa. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. E

  POLISI: Marufuku kukohoa pale unapopishana na mwanamke mwenye makalio makubwa, hilo ni shambulio la aibu tutakukamata

  Kukohoa wakati wadada warembo wenye maumbo makubwa ndo yamesababisha viwanda visijengwe.
 7. E

  Kuna Mbunge ambaye tangu atenguliwe Uwaziri amekuwa mkosoaji mzuri sana. Anahoji fedha zimekwenda wapi?

  Mkinunua hivyo vi-ndege ndo mnataka watu wasihoji?
 8. E

  MSAADA: Jinsi ya kumwondoa M/Kiti wa kijiji madarakani

  Omba kuitisha mkutano Mkuu wa Kijiji yenye ajenda ya kutathmini mapato na matumizi ya Kijiji. Kama kuna dosari theluthi mbili ya wanakijiji wakipiga kura ya kutokuwa na imani naye utakuwa umemtoa
 9. E

  Dr. Slaa: Kama wapinzani mnaonewa na Rais nendeni mahakamani

  CHADEMA wanadai zaidi ya mikutano ya hadhara. Mbona yeye hakuenda mahakamani kudai katiba mpya?
 10. E

  Dr. Slaa: Kama wapinzani mnaonewa na Rais nendeni mahakamani

  Yeye alipokuwa CHADEMA kama Katibu Mkuu alienda mahakamani mara ngapi? Muda mwingine kukaa kimya ni bora kuliko kuzungumza.
 11. E

  Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

  Naamini miaka mia mbeleni wajukuu wetu wataweka picha ya Tundu Lissu kwenye shilingi yetu kuthamini Mchango wake kwa Taifa hili.
 12. E

  Kamanda Mambosasa ampongeza Mange Kimambi, asema amerudi kundini

  Anataka Mange arudi ili wapeane posho kwa kisingizio cha ulinzi.
 13. E

  Kamishna Jenerali Magereza: Joseph Mbilinyi katolewa gerezani kwa msamaha wa Rais

  1. Barua haina muhuri. 2. Aya ya kwanza inataja mfungwa namba 219, aya ya pili inataka mfungwa huyo huyo kuwa ni namba 2019. Hizi siasa za kutaka umaarufu sijui kama ipo siku na sisi tutashiriki hata kombe la dunia. Watu wanajenga mahekalu ya kuhifadhi taarifa za watumiaji wa mitandao kama...
 14. E

  Sanaa ya maandamano na sikukuu: Nyuma ya pazia kuna wakubwa

  Hivi ni raha kuandika PhD holder? Bila kuandika hivyo unaonekana si lolote.
Top