Habari wakuu,
Kuna kijana anaitwa Hamisi ,alikuwepo kwenye mashindano ya BSS. Ni kijana ambaye kwa muda mfupi watu wamempenda sana. Lakini kwa sasa ameondolewa kwenye mashindano hayo.
Naombeni msaada kwa anayejua mawasiliano yake au anayeweza kunifikisha mahali anapoishi, au hata kunielekeza...
Nimeshangazwa sana na stori ya mwanamke alie jinunulia jeneza, hayo yamekua ni maandalizi ya mazishi yake endapo atafariki dunia.
Amenunua jeneza lenye thamani zaidi ya Tsh 22million.
Huyu ni mwanadada kutokea Afrika kusini
Nakiri kuwa nilikurupuka kupanga nyumba ya bei kubwa.
Mwanzo nilikuwa naishi kwenye chumba kimoja ambacho kodi yake ni 50,000 kwa mwezi. Nikachoka kuishi kwenye chumba kimoja, nikajifikiria nikaona bora nitafute chumba na sebule ambapo ofa yangu ambayo niliiandaa ni shilingi 80,000. Harakati za...
PC yangu ilikua nzima kabisa ...ila kuna mambo madogo madogo hayakuwa poa,nikashauliwa niipige Window...
Kwenye kupuga window naona mambo kama yameharibika zaidi
Yaani inagoma...
Wenye kujua haya mambo naombeni mniambie shida itakuwa ni nini hapa
Habari wakuu,
Leo kwenye pitapita zangu humu JF nimekutana na msamiati mgumu, member mmoja ameandika 'BADO KUNA MWANAUME ANAOA MWANAMKE ALIE FIKA CHUO'
Tujuzane jamani hawa wanawake waliofika chuo huwa wanakua na matatizo gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.