Recent content by Electromagnetism

  1. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Ufundi, Taarifa Muhimu kwa wanaopenda kujiunga

    Kaka una uzoefu na briging course ya hapo Atc?
  2. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Pre entry course

    Wakuu naomba mwenye kujua topics za pre entry course ngazi ya diploma ktk hizi technical college haswa Must and Atc zipo vipi katika soma la Physcis na mathematics topics ni zipi wakuu?
  3. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Pre entry course katika Technical college

    Wakuu naomba mwenye kujua topics za pre entry course ngazi ya diploma ktk hizi technical college haswa Must and Atc zipo vipi katika soma la Physcis na mathematics topics ni zipi wakuu?
  4. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Biomedical au Electrical?

    Wakuu nina level two kutoka Veta nina cheti cha four kina four ya 28 kina pass za Chemistry na biology then F ya hesabu na physcis sikufanya Je niombe direct entry Atc au must? au niombe indirect entry vp mziki wa pre entry wakuu? naomba pia mnijuze Soko la ajira kwa biomedical engineering ambao...
  5. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Battery and Inverter

    mkuu umeniacha kidogo hio automatic inverter charge ni tofauti na inverter yenyewe au ni aina ya inverter ambayo iko ivo? Then hapo kwenye connection na plug hio charger controller kwenye tanesco harafu?? output na peleka wapi kutokea apo katika charge controller
  6. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Battery and Inverter

    Wakuu mwenye uzoefu wa hizi vitu anijuze mfano ni battery ya Gari 12V capacity 45A.H Mwanzo niliunga na solar now tanesco wameleta umeme nahitaji kuunda back up system na hizo battery iwe ina chajiwa na Umeme wa Tanesco je naweza kuicharge na 240V? Na je ntatumia kifaa gani ikishajaa iache...
  7. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Power factor na kwanini tuna correct?

    Naomba maelezo ya kina kuhusu tafsiri ya power factor na kwann tuna coreect na pia why devices kama Generators na transforner viko rated ni Kva nieleze kwa lugha rahsi ntakuelewa nina elimu basically ya umeme ila napata ugumu kutafsiri hiii power factor
  8. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Whatsapp Hide your number

    Exactly
  9. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Ndio jibu hilo? jamaa kauliza sisi tumetoka wapi akiwa na sure kuwa God created us sio!? sasa who created God mana hataki kuamini kama tume exist tu kama anavyodai kuwa mungu alikuwepo tu
  10. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Tido muhando unaombwa ukachukue fomu ya uraisi CCM

    Jamaa anafaaa kabisa nadhani kama si EL basi apewe Tido tu
  11. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Hii style inaitwaje huko kwenu?

    ungaaaa
  12. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Kiwanja chenye msingi wa mawe, ramani ya kisasa, kinauzwa Korogwe

    Eneo ni zuri kwa kweli wenye uhitaji changamkeniiii
  13. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania Whatsapp Hide your number

    Kwa anaependa tu
  14. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania High voltage Transmission Lines

    ina linda line na radi au mwanga kvp ningeomba maelezo ya kitaalamu mana mie pia ni mwanafunzi wa course hii
  15. Electromagnetism

    JamiiForums Tanzania High voltage Transmission Lines

    Habari zenu wana tech, Nilikuwa na maswali machache ambayo ningeomba ufafanuzi wake, kwanza Katika kusafirisha umeme mkubwa yani High voltage kuanzia 33 au 66KV tunaweka neutral? yani kunakuwa na conductor nne je neutral ya kazi gani pili katika umemw mkubwa kabisa kama 132kv ambapo tunatumia...
Back
Top Bottom