Recent content by Elber Ahmad

  1. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NACTE jamani

    Hata akiapply kupitia TCU, atakuta Kuna sehem mbili moja ni kwa directly na nyngne kwa diploma, hiyo kwa diploma akiingia itafunguka NACTE , halaf jitahidin kudownload TCU guide book 2016 /2017 utakuta mwongozo wote
  2. E

    JamiiForums Tanzania Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

    Acha kuwazingua vijana, maombi bado! Then vijana acheni kutafuniwa kila kitu hebu ingieni www.heslb.go.tz mjiridhishe
  3. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo Tanzania ( msaada wanajamvi)

    Maombi bado ndugu, au wewe una bodi yako ya mkopo? Hebu ingia muda huu ktk tovuti ya bodi then ukiliona tangazo screen shot halaf tuma tuone
  4. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo Tanzania ( msaada wanajamvi)

    Hakuna fomu ya helsb iliyotoka kwa mwaka 2016 /2017, maombi bado
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tamko: Ukweli uliojificha kuhusu Kitwanga kufukuzwa Uwaziri

    Hao madiwani wanashangaza, wabunge pamoja na waziri mkuu walishuhudia pale mjengoni jinsi kitwanga alivyouchapa mtindi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Shujaaa mpya wa TAHLISO ni Francis Ndunguru

    Jamaa ndio rais wa SUA
  7. E

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    vijana msiogope bhana! SUA hakuna kudisko semister ya kwanza! ila ukmalza mwaka wako wa kwanza kama umepata credit hour chini ya kumi na sita itabd 2 ufungashe virago! na pia SUA ni chuo kinachoangalia GPA na credit hour kwa wakat mmoja
  8. E

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    acha kuwaongopea madogo, hakunaga kufungasha virago semister ya kwanza
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kaimu DEO na Mtaaluma Simanjiro mnaua elimu

    simanjiro mmejaaliwa kupata mbunge mpya! mkiona DED wenu hafuatilii jaribu kumuona james millya then mumpe malalamko yenu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Karibu Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine, Morogoro

    acha kudanganya watu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Geographia ya SUA

    sio first year wote wanaripoti mazimbu campus! koz kama bvm, animal science, general agriculture, food science n.k wao wanaripoti main campus
  12. E

    JamiiForums Tanzania Vyuo vilivyotoa majina hadi sasa

    yaaaah! ni kweli kwa hvyo ulvyovitaja vmeanzakutoa majina
Back
Top Bottom