Recent content by elae

  1. elae

    JamiiForums Tanzania Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

    Nakubaliana na mtoa hoja....Nina rafiki yangu nimesoma nae chuo na ni mshikaji...jamaa anawakimbiwa na wadada kwa sababu wakikutana uume hausimami kabisa hata kwa dawa....Hivyo ukikutana na mdada alafu amuahidi kua wasifanye mpaka ndoa hapo itakua sawa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
  2. elae

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuniumiza, amerudi anataka turudiane

    Hahaaaa.....nasubiria miaka 2 ijayo utakua na kipya cha kutuambia.....
  3. elae

    JamiiForums Tanzania Paco Decor amefariki

    Mkuu mzigo umeuliza swali la msingi sana
  4. elae

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    FaithMarie eettt hata jina halisadifu madudu uliyoyafanya.
  5. elae

    JamiiForums Tanzania Hili nikilifumbia macho litaniumiza kimapenzi

    Ngoja waje wataalam nami nijifunzee
  6. elae

    JamiiForums Tanzania Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Lowassa kufilisika may be watoto wakee au Mungu aamue maana ana hisa za kutosha kwenye kampuni kadhaa,na ni kampuni ambazo zina perform sana.
Back
Top Bottom