Recent content by El uno

  1. El uno

    Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Karibu nachingwea ardhi ipo ,Kuna mazo matatu makuu na yote ni Hela tupu 1.Ufuta .huu huvunwa kati ya mwezi wa nne hadi sita,ni Hela tupu 2.Mbaazi hizi huvunwa kati ya mwezi wa sita hadi nane,hii ni Hela nyingine na gharama za uzalishaji ni ndogo mno 3.Korosho.Hili ndiyo zao mama .nadhani hii...
  2. El uno

    Wapi naweza kupata past papers za NECTA za SFNA(darasa la nne)

    Nenda google search maktaba tetea utapata
  3. El uno

    Umri wa mimba

    Hapana sikusafiri
  4. El uno

    Umri wa mimba

    Ok
  5. El uno

    Umri wa mimba

    Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito...
  6. El uno

    Umewahi kukutana na Tabia Gani za kushangaza kwa Mama Watoto wako alipokuwa Mjamzito?

    Mh ni majanga ,wangu hataki kunipa kitumbua,napata kwa tabu sana ati anajiskia vibaya,week ya 19 sasa .
  7. El uno

    Msaada wa nakala laini(soft copy) ya kitabu kiitwacho, Practical Geography for Africa

    Wakuu nawasalimu, Mwenye nakala laini ya kitabu kiitwacho Practical Geography for Africa by John M. Pritchard anisaidie.Wenu katika elimu.
  8. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    Jamaa peponi directly ,Kwa idhini ya Allah
  9. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    Shukrani,wakati mwingine ukiskia tujuzane
  10. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    Nimepeleka mara kadhaa ,nilifanikiwa mara moja ila maslahi yakawa madogo,Niko tayari kulipwa kuanzia 500k
  11. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    In InshaAllah kaka,nafanya ujasiriamali,ila mambo hayaendi Kama ninavyotaraji so nipo kwenye dilemma
  12. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    Nilikwishatuma taarifa zangu Kwa email ,Bado sijapata majibu
  13. El uno

    Natafuta Ajira: Nina shahada ya Ualimu wa Geography na History

    Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu. Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza, natafuta ajira ya kufundisha shule au kuwa tutorial assistant kwa masomo niliyotaja. Lazima nikiri nimeomba ajira za TAMISEMI Kwa miaka sita bila mafanikio yoyote. Nikaona labda bahati yangu ipo JamiiForums. Kwa hiyo...
Back
Top Bottom