Recent content by El profesor

  1. E

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Script hii ya Assenga Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

    Hizi kashfa sio mara ya kwanza kuzisikia. Hizi kashfa zilisukwa kwa mara ya kwanza na Assenga aliposhindwa kwenye uchaguzi na huyo Lijualikali na zilifika mpaka kwenye uongozi wa juu wa CCM. Naamini kabisa hizi kashfa zimetolewa na Assenga bila kuhusishwa Lijualikali au amehusishwa. Hii ni...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Original Smart band Mi 4 na Apple Earpods zinauzwa

    Original Apple Earpods Highlights Designed by Apple Compatible with iPhone and Android devices. Deeper, richer bass Greater protection from sweat Control music and video playback Answer and end calls Price: 18,000 Phone: 0764453848
  4. E

    JamiiForums Tanzania Original Smart band Mi 4 na Apple Earpods zinauzwa

    Xiaomi Mi Band 4 Specs Display -------------------0.95" AMOLED Display, 120*240 Pixels Battery ------- -----------135mAh battery compacity,Up to 20 days (Recharging time ~2 Hours) Water resistance ------ 5ATM water resistance up to 50m RAM+ROM --------------512K RAM+16MB ROM Activity Tracking...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha ngono kilivyo

    Nani anaikumbuka ladha ya mpenzi wake ambaye walishaachana mwaka mmoja uliopita? Tuache mwaka, ikiwa ulikuwa na mtu kisha ukakutana naye kimapenzi wiki iliyopita na baada ya hapo hamjakutana tena, ni ladha ipi unaikumbuka? Kuna faida gani ya kusema au kujulikana ulishatoka kimapenzi na wapenzi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Manchester ni Matombo ya Uingereza

    Mkoani Morogoro, kuna mji mdogo unaoitwa Matombo ambao maana yake ni matiti ya mwanamke. Sababu ya mji huo kuitwa hivyo ni miamba ya mawe iliyopo eneo hilo, ambayo imeshikana kama matiti ya mwanamke. Kwa Kiluguru matiti ya mwanamke huitwa matombo...na hiyo ndiyo asili ya eneo hilo kuitwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Tazama ligi kubwa duniani kwa gharama kidogo

    Nina dish la Azam ninaweza kulitumia??
  8. E

    JamiiForums Tanzania Azam TV yapewa leseni ya kurusha chaneli za ndani

    Azam bado wanaendelea kufunga mitambo ya ardhini, by mwisho wa mwaka itawashwa
  9. E

    JamiiForums Tanzania Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

    Mimi nilianzaga kutongoza chekechea huko.Nilimtongoza teacher, nikawa nahongwa vikombe vya uji. Vijana wa siku hizi sijui mnashindwa wapi?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tazama ligi kubwa duniani kwa gharama kidogo

    Vipi kuhusu dish inatumia dish gani?
Back
Top Bottom