Recent content by El Ngassa Jr

  1. E

    JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Mkuu uliona mbali, ha ha Yanaenda kutimia bhana tushafika 25,000
  2. E

    JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Mheshimiwa Azam Fc na Azam Media mbona ni kampuni mbili tofauti kabisa. 😁😁
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tuache utani Startimes ndio king'amuzi bora sana

    Umenena vizuri sana mkuu. Binafsi nashangaa wanaosema sijui king'amuzi fulani ni bora kuliko hiki? ile hali kila kimoja kina selling point yake. ila kama hoja ni mpira basi tufanye kampuni zote hizi zinaonesha EPL, NBC PL NA UEFA. enhe... tutaendelea kubishana... ha ha
  4. E

    JamiiForums Tanzania Msaada kuweka tv (flat screen) kwa ukuta bila kutoboa ukuta.

    Wana JF naombeni msaada wa namna ya ku-mount tv ukutani bila ya ku drill.. natanguliza shukrani..
  5. E

    JamiiForums Tanzania Hili ni kwa watalamu wa Ving'amuzi na Satelite Dishes, ufafanuzi tafadhali!

    Sio siri nimecheka sana wakati nasoma soma comment za watu nilipofika ya kwako nimecheka sana. Uko short clear and straight to the point ha ha ha ahsante sana...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Namna ya ku track sms na calls

    Nenda ktk kampuni ya simu husika na uombe copy ya call logs zake na sms pia. Ila ngoja kwanza una kifua? Au unatafuta sababu ya kumuacha...
  7. E

    JamiiForums Tanzania TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Ha ha ha ha ha ha
Back
Top Bottom