Namna ya ku track sms na calls

Namna ya ku track sms na calls

Daaaaaah, we kijana mwanamke ukitaka kumfuatilia utajiletea matatizo mengi sana. sikatai mwanamke ni muhimu kumbana lakini kuna kipindi ukitaka kukaba hadi penalt utapata matatizo sana. hawa wenzetu wana akili mara 2li yetu ifikapo katika suala zima la mapenzi. ila kwa mambo mengine ni wajinga kuliko mtoto wa mwaka 1 ambapo mwanamk eutamchezea na kumbadilisha utakavyo bila yeye kujijua.
application hizo zipo sana tu na mii ninayo moja ambayo nishawahi kuitumiakwa wife,il niliiondoa aada ya kunifanya nimchukie mke wangu ghafla. so sikushauri kabisa utumie vitu kama hivyo.

jamaa hajaomba ushauri. Kaomba hiyo app. Mpe kwanza.then mshauri baadae. Achague kusuka au kunyoa
 
kwahiyo hadi sasa hakuna alietoa link yakuidownload hii kitu?

tuache longoX2 anaefata hapa aje na majibu ya app sio ushaur
 
Asprin; Heko sana Mkubwa!!!! Huyu dogo anataka tuje kulaumiana humu bureeeee!!!!



Wivu mbaya sana! Baadaye utataka namna ya kujua passwords za Email address zake kibao alizo nazo!

Ni kujitafutia kifo kabla ya muda tu. Binadamu hachungiki.
 
Last edited by a moderator:
jamaa hajaomba ushauri. Kaomba hiyo app. Mpe kwanza.then mshauri baadae. Achague kusuka au kunyoa[/rdQUOTE]
Jamaa kaomba sumu. Unasema 'mpe anywe kwanza', kisha utamhubiria baadae madhara ya sumu. Loooh!
 
Nenda ktk kampuni ya simu husika na uombe copy ya call logs zake na sms pia. Ila ngoja kwanza una kifua? Au unatafuta sababu ya kumuacha...
 
jenga misingi imara,itapunguza kutoaminiana.
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank you.

Mwenyeji wa mkoa gani?
Kama Iringa nasema kabisa mimi sitaki kujiusisha kwenye kesi ya mauaji
 
Asprin; Itabidi tuanzishe jukwaa la kizazi kipya humu kwani naona tunaingiliwa sana na kizazi kipya kabisaaaa!!!!!! Huyu dogo anataka kuja kujinyonga mchana kweupeee na atuachie lawama bure!!!!
Watoto wa kizazi cha digitali hawa mzee mwenzangu!
 
Last edited by a moderator:
Asprin; Itabidi tuanzishe jukwaa la kizazi kipya humu kwani naona tunaingiliwa sana na kizazi kipya kabisaaaa!!!!!! Huyu dogo anataka kuja kujinyonga mchana kweupeee na atuachie lawama bure!!!!

Huo unaweza kuwa mtazamo wako mkuu. Lakini ukifuatilia zaidi unaweza kuitumia kwa ajili ya kazi nyingine/hata kwa usalama wa simu yako pale inapo kuwa imepotea. Kwa hiyo tusi toe hitimisho bila kuwa na uhakika kwamba muhusika anaweza kufanya hivyo unavyo fikiria. Ni mtazamo wangu pia.
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi kizunguzungu ...mapenzi hayana tiba...Vumilia ka unahisi kitu...Ukijua utaumia sana mazee.
 
Kama unataka kumuacha huyo girl friend wako i umuache tu kwani lazima kumtafutia sababu?!

Hakuna haja kabisa ya kumtafutia sababu sometime love is just enough!
 
Hello Jf ,naomba msaada wa namna ya kufahamu calls zote anazopiga au kupigiwa ,received and sent sms za Girlfriend wangu! Thank you.

check na Said Kubenea, si uliona alivyoweka wazi mawasiliano kati ya Ulimboka na yule jamaa secret services kabla ya kutekwa kwake. Hakuna namna ya kufanya kwenye simu yako kama device kwani si vyote vinabaki huko hivyo lazima uombe msaada kutoka mobile operators. Mfunge CCTV camera!!
 
Back
Top Bottom