Recent content by el myng

  1. E

    JamiiForums Tanzania Mwalimu unapata 0 halafu ukafundishe watoto wetu?? Hongera psrs

    anayetunga mitihani ya usaili wa ualimu ni nani????
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

    Kabla ya kusoma huu uzi..kwanza niseme marehemu hasemwii
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wana jf wapi site ya mikeka tujiajiri huko tu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Askari uhamiaji analipia nauli public bus?

    Kusikia ajira wametengaz mmeanza kuulizia mishahara na mambo ya offer offer
  5. E

    JamiiForums Tanzania Maana ya hiki kitu ni nini?

    Hivi maana ya hii ni nini? Kustaafishwa kwa maslahi ya utumishi wa umma??
  6. E

    JamiiForums Tanzania Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Nyerere alisema "kuzaa si kazi bali kulea ndiyo kazi"
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje?

    Kila mtu hutafuta wa kuconnect naye kama tu ule mtandao wa unganishaa wengi upate faida..sjui saiv zimepotelea wap
  8. E

    JamiiForums Tanzania Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  9. E

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakufunzi SAUT - Mwanza baadhi wananyanyasa na kufelisha wanafunzi makusudi

    Kuna mwalimu kamaliza degree yake hapo akapata nafasi ya kufundisha chuo cha kati cha afya alichokuwa anafanyia hapo kakihamishia huku anapofanyia kazi sasa hivi bila fedha huboi CA lazima ufeli tu....itakuwa aliiga
  10. E

    JamiiForums Tanzania PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Haya maswali unaandika kwa mfumo wa insha,
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hofu yangu juu ya kuishi bila mke

    Habarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha. Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Nani anamfadhili Luhaga Mpina? aweka mawakili 100 kupambana na CCM na serikali, haipungui bilioni moja. Anapinga sukari kushuka kutoka 5000 mpaka 2300

    Huyu mwamba anasiri zake kwenye chaguzi zake zote mbili 15/25. Awamu hii sidhani kama atatoboa
Back
Top Bottom