Recent content by El Mincho

  1. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

    Netanyahu aliwaambia Hamas kosa walilofanya Oct 7 ataifanya Gaza kifusi ndio matokeo yake hayo. Hapo hujaongelea akina Nasrallah, Sinwar, Khamenei n.k walivyopelekwa kuzimu. Ila kila nikiwaza hii vita naona ni mpango ulisukwa kabisa na CIA na Mossad kuwaachia Hamas washambulie ili waje wamalize...
  2. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya hawamuiti Rais wao Dr Ruto,japo Ruto ni Phd holder? TANZANIA tuna ugonjwa gani au tunashindwa kutofautisha nini?

    Kenya asilimia kubwa ya wananchi wake wameenda shule kwahio hawana huo upuuzi wa kumuita sijui Dr mtu ambae hata degree hana, mara sijui wakili msomi, mara eti injinia au sijui CPA huu ujinga upo bongo tu haupo popote duniani.
  3. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Wabongo wepesi kuchangia ujinga, kuna yule dada alikua Wasafi FM aliingia Instagram akawaambia sijui anadaiwa kodi ya pango pesa kadhaa wamchangie si wakaingia kingi, wakachanga haswa alivyozikusanya akaenda zake mbuga za wanyama kula kuku. Watu wanaacha kuchangia watu wenye uhitaji wanachangia...
  4. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Ona sasa mlivyo wepesi, kwahio hapo kusema kua anatafuta dili yoyote basi wewe ulivyo ndezi ukaona yupo genuine sio. Nakwambiaje wanageria watakuja bongo kwa wingi na kushirikiana na wabongo wajanja watawapiga pesa mpaka mtatia akili nyie watu. Huyu alivyoanza nakutafuta dili ndio alikua...
  5. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Msaada ndio anakuja huku, aende mtaani huko. Ndio maana wabongo ni easy target kwa wakenya na wapopo, mko wavivu sana wa kufikiri. Anaehitaji msaada hawezi kulia lia online. Msaidieni sasa halafu mje kulia baadae mmepigwa. Na hivi wanigeria wataingia bila Visa, subirini mpigwe hadi mtie akili.
  6. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    JF imefikia huku kwa kua na omba omba, twafa. From Great thinkers hadi kufikiw a na ma omba omba. Nimeamini dunia duara.
  7. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Maisha yaendelee lakini naona kwa bongo ngono imekua zaidi, karibu kila siku ndio topic kubwa. Nahili nafikiri ma ccm yanalijua na yanalifurahia. Hivi kuna nchi Africa inawazidi wabongo kwa kushadadia ngono??? Lissu amefanya kosa kubwa sana kutovuta mkwanja na kusepa.
  8. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Ujinga kidogo: Wakuu nahisi kuna mtego hapa nikibugi step

    Lissu angejua angevuta hio pesa alioahidiwa atoke jela aende zake Belgium maana watu anaowatetea ndio hawa 24/7 wanawaza ngono. JF kwishney.
  9. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Nimegeuza kauli baada ya kupitia pitia online na kupata habari mbalimbali kumhusu huyu bwana Kweka na kwanini alifkia kufanya kitendo cha mauaji. Nimeona sehemu kumbe huyo marehemu ni MMACHAME!! Wanawake wa hio jamii wasikie tu masikioni lakini usioe kabisa ni wauaji, unaweza kuta hio cancer ya...
  10. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Nimefunga rasmi mjadala wa Kweka

    Kuua mwanamke kwa sababu ya kitu chochote iwe nyumba au mapenzi ni UDHAIFU na USHAMBA.
  11. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Uache kumpenda mama yako, umpende mtu mliekutana ukubwani. Ndio maana nimesema ni USHAMBA, kumpenda mwanamke kupitiliza, watoto wa mujini tuliozigusa hizo pisi kali huwezi kumpenda mtu kupitiliza kumshinda mama yako. Watu wanakaa na wake zaidi ya miaka 20 wanaachana na wanadunda tu itakua...
  12. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Kifo cha utata cha mwanafunzi wa KIUT akipambana kusomea udaktari

    Na funzo kwa wanaume; Kama mwanamke umeshindwa kumhudumia amepata kidume kingine chenye uwezo wa kumhudumia, usimdhuru muache aende na wewe tafuta wa level yako. Kuuana uana kwa kisa cha mapenzi ni UDHAIFU, USHAMBA NA UBINAFSI. Mbona wanawake wapo wengi sana mitaani.
  13. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alilazimisha sana nimpe namba ya simu ya mchumba wangu, sasa anampigia simu hadi mara 10 kwa siku kumjulia hali

    Swali la msingi, Huyo babaako ni mstaaafu na ameshalipwa pensheni yake ipo bank?? Kama jibu ni; Ndio basi ujue anatafuta pa kuitumiepo hio pensheni yake. Kama jibu ni Hapana, basi mzee ni wema wake tu kwa mkwe kutaka kumfahamu vizuri.
  14. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Naona wachangiaji wengi wa huu uzi wanamtukana mleta mada, kwahio sababu ya bwana Kweka kuua ni hio hati ya nyumba kubadilishwa tu au kuna kitu kingine kilichompelekea kumuua mama wa watoto wake?? Kama sababu ni nyumba tu naendelea kukazia kua jamaa ni "coward" na very "selfish". Sawa alikua...
  15. El Mincho

    JamiiForums Tanzania Mwanamke alie uwawa kwa risasi amekaa na house girl kwa miaka 8. Ni ishara kwamba she was a good woman.Tanzanians are very poor judges of character

    Usimsafishe huyo mpuuzi, hao wote ni wachaga kwahio hapo hamna alieukua "Kyasaka" kwamba atapotezwa. Huyo jamaa ni " coward" na very selfish. Huwezi kumuua mama wa watoto wako kwa sababu ya nyumba, ina maana hapo aliwasahau kabisa watoto wake na maisha yao ya baadae, ona sasa kawaaacha yatima na...
Back
Top Bottom