Recent content by El-mendhir

  1. El-mendhir

    Udaku special........

    Mmmmmmh!
  2. El-mendhir

    Picha: Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Mushi mahakamani

    Jamani tuangalie sheria ilivyo na tuachane na ushabiki wa kikanda na kiimani, ajabu sio kwa DPP kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria, bali ajabu kubwa ni kwa jeshi la polisi kulazimisha kufanya kazi isio ya kwao
  3. El-mendhir

    Mtuhumiwa mauaji ya padre Mushi hana hatia

    Kaka yng, kabla ya kujiuliza kazi mahakama ni ipi ingekua vizuri japo kwa dakika moja kufanyia mapitio sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya zanzibar ya mwaka 2004, kuanzia kifungu namba 93 hadi 101 pamoja na vifungu vyake vidogo, hapo nadhani utapata kuelewa kwamba alichofanya DPP ni sahihi...
  4. El-mendhir

    Muuaji anayetumia pikipiki akamatwa na polisi maeneo ya Tabata Dar es salaam

    Dah! Mkuu source muhim sn, na hata km amekamatwa bado ni mshukiwa tu hadi pale mahakama itakapothibitisha uhusika wake baada ya kupitia na kusikiliza ushahidiwa pande zote mbili
  5. El-mendhir

    Sheria

    Ndio, na ndivyo ilivyo kwa nchi nyingi sn duniani, kuna kitu wanaita territorial jurisdiction, ivi itawezekanaje Tanzania kutumia sheria za izrail? Au canada? Ni wazi kwamba kila nchi ina mfumo wake wa sheria, inabakia zile sheria za jumla kwamfano kila mwanachama wa umoja wa mataifa anatakiwa...
  6. El-mendhir

    Kwanini maiti ichunguzwe?

    Davmak! Umeuliza swala zuri sn, kwa kawaida uchunguzi unaofanyika kwa marehemu haulengi kwa kupatikana wa kuadhibiwa tu, lkn kwa kanuni za kiuchunguzi, km itabainika kwamba marehemu alikua na hatia ni lazima idara husika ianze kazi yke, may be ni mtandao mkubwa bali yeye marehemu kwa bahati...
  7. El-mendhir

    Heshima kwenu wana jf

    Kwa heshima zote, naomba munipokee ktk uwanja huu adhim,
  8. El-mendhir

    mwanamke mwenye vvu + umri 30-50 asome hapa

    Duh! Cinderela unauliza makalio ya mbwa wakati mkia unauona??????
  9. El-mendhir

    Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya

    Yakhe na ww unachukua matatizo ukayafungulia feni
  10. El-mendhir

    ok imenibidi niseme.

    Au namba ya boda boda hio????
  11. El-mendhir

    A friend in Zanzibar

    Yakhe si hatari hio!!!!!
Back
Top Bottom