Recent content by el diablo

  1. el diablo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Watunzi wazuri wa hadithi

    Mimi naitwa Emmanuel Vicent Natokea Mwanza mimi ni video director natafuta watu ambao wapo vizuri kwenye kuandaa story hasa za kutengenezea filamu. Kama story kali tunaweza fanya biashara ila kama story itakua ya kawaida tunashoot na kukuweka kwenye credit kama mtunzi na muandishi wa story...
  2. el diablo

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: "The Godfather"

    @Just Nana Tumesubiri vya kutosha tuletee story sasa muendelezo wake jamn
  3. el diablo

    JamiiForums Tanzania what are the disadvantage of having enemies

    i want to know what are the disadvantage of having enemies in our daily life please help me Sent using Jamii Forums mobile app
  4. el diablo

    JamiiForums Tanzania What are the dismerit of having enemies?

    I want to know what are the disadvantage of having enemies in our daily life please help me i need your help to support me in this tpic. thank u Sent using Jamii Forums mobile app
  5. el diablo

    JamiiForums Tanzania Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

    hahahahah haaahahahah typing error baby samah mwaya
  6. el diablo

    JamiiForums Tanzania Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

    sorry... ni baby sio babu typing error
  7. el diablo

    JamiiForums Tanzania Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

    asante kwa ushaur wako babu doll uxsem kifront front sio vzr jamn
  8. el diablo

    JamiiForums Tanzania Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

    hahahahah duh unanifundisha kuchepuka mkuu
  9. el diablo

    JamiiForums Tanzania Jua jinsi ya kuishi na mwanamke kiziwi na jinsi ya kuumpa haki yake ya ndoa kama wanawake wengine

    Okkk...me na mrembo wangu anamatatizo ya kusikia (kiziwi) kiukweli tunapendana sana pamoja na matatizo yake ila moyo wangu wote upo kwake nampenda sana kila kitu kuhusu mapenzi nampatia ili ajione kama watu wengne katika dunia hii ya shida na raha ila ukitoa changa moto mbalimbali ambazo napata...
  10. el diablo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuhisi kubanwa mkojo au kwenda chooni mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi

    mh kwahiyo hapo inabidi kumwambiaje sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. el diablo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuhisi kubanwa mkojo au kwenda chooni mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi

    ahaaa kumbe ndo huwa hivyo embe nipe darasa vizuri hapo mkuu
  12. el diablo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuhisi kubanwa mkojo au kwenda chooni mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi

    hapo shida inakua ni nini mkuu
Back
Top Bottom