Mwanamke kuhisi kubanwa mkojo au kwenda chooni mara kwa mara wakati wa kufanya mapenzi

el diablo

Member
Jan 7, 2019
40
20
jamani wana jf mm sio mwenyeji sana katika mapenzi eti mwanamke kujisikia kukojoa au kubanwa na mkojo mara kwa mara wakati wa tendo la ndoa kunasababishwa na nini. maana imekua too much sasa yaan dk 15 au 20 anaenda chooni. Na anakua mkali sana sasa sahivi imekua kama kelo. Ebu mniambie shida ni nini wenzangu.
 
Hujamtoa bikra vema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom