Nashukuru Wakuu kwani hata sasa hawajnijulisha chochote na nilipowauliza wanitumie sample ya certificate zao na report ya matokeo jamaa alikuwa akisisitiza pesa zaidi!!
Duuu hadi wizi siku hizi kidigatli!!!!
Maombi haswa yanhitajika kwa kwelii!!!
Siamini hata mimi kama kweli amefariki ila kama ni kweli R.I.P Deo Mungu awafriji familia ya marehemu na wote wenye uchungu.
Habari za usiku ndugu zangu.
Kuna kazi niliomba majibu yametoka kuwa nime kuwa shortlisted ila nijaze fomu flani wamenituma kisha niambatanishe na General Intelligence aptitude (GIA) test certificate. Wamenitumia website mbili.
Pia wamesema naweza fanya kwa accredited invigilator wengine...
Leo majira ya asubuhi amewawa n polisi jijini Arusha. akutwa na silaha za kisasa kabisa, risasi za kutosha. pikpiki no. za bandia. Inasemekana amekwishaua zaidi ya wanawake 15. na kujeruhi kadhaa hadi sasa. Mwenye habari zaidi atujuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.