Recent content by ejoka

1. E

Mabadiliko ya muundo wa shirika la TPDC wageuka chochoro wa vigogo kuwaingiza watu wao

Mchakato wa mabadiliko ya muundo wa Shirika la T.P.D.C uliolenga kuleta ufanisi wa uendeshaji kutokana na ugunduzi mkubwa wa gesi, umegeuka kuwa kilio kwa wafanyakazi waliotumikia shirika hili kwa uaminifu na ustadi mkubwa na kufanikisha utafiti na ugunduzi wa gesi na kuwafanya viongozi wa...
2. E

vp hili swali unalionaje gumu au rahisi??????

Bubu ataandka kwenye karatasi na atampa kiziwi amsaidie kusoma mbele ya kipofu
3. E

Kwa matukio haya Pinda hustahili kuwa waziri mkuu wa Tanzania

Kaka mbona nawe unajichanganya, unaposema Tanzania waelewa unamaanisha nini?, au wajihisi raha kuona kama kuna utofauti wa maana ya Tanzania na Jamhuri ya muungano wa Tanzania?

Na hata kama Pinda amefika kikomo cha maneno ya upinzani, yeye kama Kiongozi wa nchi hatakiwi...
4. E

Kwa matukio haya Pinda hustahili kuwa waziri mkuu wa Tanzania

Kaka mbona nawe unajichanganya, unaposema Tanzania waelewa unamaanisha nini?, au wajihisi raha kuona kama kuna utofauti wa maana ya Tanzania na Jamhuri ya muungano wa Tanzania? Na hata kama Pinda amefika kikomo cha maneno ya upinzani, yeye kama Kiongozi wa nchi hatakiwi kughafirika namna hio na...
5. E

Kwa mwenye kujua tatizo hili naomba msaada katika pc yangu.

Kweli hao ni virus kaka, Umejaribu kwanza ku-scan na best antiviruses?, Kaspersky Internet Security 2013 is the best, inasafisha na ku-repair broken files, Formatting iwe ni last option baada ya kufanya njia zote
6. E

laptop gani nzuri na ntapata wapi kwa sh ngapi approximately?

Kuna maduka wanauza mtumba ambazo ni nzuri kabisa, kama mpya kabisa, nishanunua kama mara 3 za aina hio na hazijawahi nisumbua na zote zilikua HP, cha msingi ni kuwa makini na details na duka unaloenda nunua, si kila duka ni zuri, Duka ambalo na-recommend kwa mtumba mzuri ni Duka moja jina...
7. E

laptop gani nzuri na ntapata wapi kwa sh ngapi approximately?

Kaka chukua any of the HP Elitebook Models, ni nzuri sana na mashine ngumu zipo za Core i3, i5 au i7 2.4ghz, RAM 4GB, 500 up to 750 HDD, Webcam, HDMi, blue ray rom, memory card reader, unapata kwa hio bei ya laki 9 mpaka milioni moja. Kuna duka liko opposite na JM Mall, nimesahau jina lake ila...
8. E

laptop gani nzuri na ntapata wapi kwa sh ngapi approximately?

Nikuambie ukweli kutokana na experience ya muda mrefu ya laptops, Brands bora kwa sasa kwa laptops zinazotumia Operating system ya Windows ni hizi hapa katika mfululizo wa kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho ni HP, Toshiba, Dell, Samsung, Lenovo. Hata kwa mauzo mwaka jana 2012, HP waliongoza kwa...
9. E

MSAADA:pc inaniletea mauzauza

Power supply yako ndio imekufa, nunua tu nyingine, na tatizo litaisha.
10. E

Msaada wa virus kwenye pc

Download na activate free trial ya Kaspersky Internet Security 2013 then update hio halafu scan pc yako yote, itatoa huyo spyware. Nilikuwa na hao viruses uliosema na Kaspersky Internet Security 2013 ikawatoa, usi-download Kaspersky Antivirus 2013, bali download hio Kaspersky Internet Security 2013
11. E

Kwa mwenye kujua tatizo hili naomba msaada katika pc yangu.

Sio lazima u-format pc yako, sometimes inakua ni ishu ya internet files zina-cloud system yako especially drive C. Naposema internet files naamanisha kuna vi-file vidogo dogo kila unapo-surf mtandao huwa vinahifadhiwa kwenye pc yako, kwa muda mrefu ikiendelea hivi utashangaa computer yako...
12. E

Kwa mwenye kujua tatizo hili naomba msaada katika pc yangu.

Sio lazima u-format pc yako, sometimes inakua ni ishu ya internet files zina-cloud system yako especially drive C. Naposema internet files naamanisha kuna vi-file vidogo dogo kila unapo-surf mtandao huwa vinahifadhiwa kwenye pc yako, kwa muda mrefu ikiendelea hivi utashangaa computer yako nafasi...
13. E

Nauza laptop yangu, bado iko kwenye condition nzuri kabisa

Habari, Nauza laptop yangu, iko kwenye hali nzuri kabisa, nina matatizo yamenipata na ninahitaji kuyatatua kwa haraka sana, bado naihitaji laptop yangu ila sina budi, battery yake inakaa na chaji kwa zaidi ya masaa mawili na nusu, haina scratches kabisa. Specifications zake ni hizi hapa chini...
Back
Top Bottom