Nauza laptop yangu, bado iko kwenye condition nzuri kabisa

Nauza laptop yangu, bado iko kwenye condition nzuri kabisa

ejoka

Member
Joined
Feb 17, 2010
Posts
13
Reaction score
3
Habari,

Nauza laptop yangu, iko kwenye hali nzuri kabisa, nina matatizo yamenipata na ninahitaji kuyatatua kwa haraka sana, bado naihitaji laptop yangu ila sina budi, battery yake inakaa na chaji kwa zaidi ya masaa mawili na nusu, haina scratches kabisa. Specifications zake ni hizi hapa chini:


Toshiba Satellite L455
Processor Speed: Duocore 2.0GHz
RAM: 2GB
Hard Disc Drive: 160GB
DVD RW
Webcam
WIFI
3 USB 2.0 Ports
Memory Card Reader
15.6" Widescreen
Ina Genuine Windows 7 Ultimate Operating system, Microsoft office 2007, Adobe Reader, VLC, Movies, Music, Series

Bei ya kuanzia ni 480,000/=

Kwa mawasiliano: 0657829674 au 0713165688
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom