2m ya wap.....fain inategemeana na wewe kukubal kosa au ni vp.......kama umekubal kosa utalipa fain na kuhusu mazish hausikiii ila ukiamua wewe ndio utajitoa tu kw ajil ya msiba tu lakin mahakaman fain ya ajali ya kufariki nahis inaanzia lak na 20 uko na kuendeleaa na kuhus sijuii mazish...
Habari wana JamiiForums.
Eti ni kwel mtu akiwa mnene sanaa na akaja kupungua uzito kwa haraka kama alikuwa mfupi? Huongezeka urefu je ni kwel au ni uwongo?
Kama ni kwel nianzee kula ovyo ninenepeee kisawa sawa....kisha nikonde niwe mrefuu zaidiii😊😊😊
400m wapii me simuamini jana katoka kupost twitter uko eti kakopa bank 25m kwa ajili ya katanii.......hv mtu una 400m unaenda vp kukopa bakii 25m serious kabisaa......hapo nikajua jamaa ni anauzushi huyoo🤣🤣🤣🤣
nakubaliana na wew asilimia nyingi wanataka wafanye forex tu wanasahau kama wakipata faida inawabidi wafanye na biashara nyingine wanaishia kueka lot tembo kinachuwakuta ni kuchoma account na kutumia lot sisimizii😀😀😀
aiseeeh me nikikosaga usingizi kabisaa nakunywa chai ya rangi vikombe viwili kinachofatia hapo ni kudozii sometime nakuja kuamka sa 3 na nimechelewa job🤣🤣🤣🤣 uzur nimejiajir sifukuzwi na mtu😂😂😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.