Acha wivu wewe umetumwa na wakandarasi wenye makampuni wanaokosa kazi baada ya force account kuja. Mi ninesoma maelezo yako yote na yote siyo ya kweli. Mfano;
Umesema miradi kuwa chini ya kiwango, kwenye force account fundi anaetekeleza mradi lazima awe amepita veta na anasimamiwa na ma...
Lakin
Lakini kitu ambacho umetudanganya kingine umesema kupiga branderling ni m2 25 na kufunga gipsum board ni m2 25. Kwa wasiojua m2 ni square MITA yaani Upana mara urefu Kwa jinsi umbo la kinanda lilivyo. Sasa jamaa ana maanisha hicho kibanda kina urefu MITA 5 na Upana MITA 5 ndani Kwa...
Kitu ambacho watu hawaelewi hapo ni kwamba mkandarasi vifaa kanunua mwenyewe na kivisafirisha, lakini pamoja na hayo bado amelipa Kodi Vat 18% na kabla ya kupata hiyo kazi kina gharama za kuipata, stationary nauli nk, japo bei bado imechangamka. Kwa hesabu zangu ni milioni 8.7. Mimi ni...
Tangu nimenunua gari hili mwanza halijawahi kunisumbua Kwa lolote ni mwaka wa pili Sasa. Ni hii juzijuzi nilipotuma hiyo thread kutafuta msaada na ishu ilikuwa ndogo tu, plug moja ilikuwa haichomi. Nimebadili plug na chombo imetembea Sumbawanga dar bila shida.
Kwanza magari yenu ya Dar mabodi...
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.
Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko. Linaunguruma ni kama Lina miss ila halizimi.
Na pia limekula MAFUTA mengi mno tofauti na kawaida yake...
Nimepitia pitia akaunti mbalimbali za mitandao mingi inayouza magari ya mkononi, jambo ambalo sijaelewa ni kwamba magari mengi ya aina ya Crown yanayouzwa ni Yale CROWN ROYAL SALOON. Siyaoni sana CROWN ATHLETE sababu ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.