Recent content by Einsteini

  1. E

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Hahaha na kanji anagoma ku cash out. Hii ngoma ngumuu. Ndani ya On target 2 goal lazima lipatikane hakuna crosbar hii game
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Rasmi kesho naanza ku beti Niliacha kubet directly win nikawa na bet matukio, naona sasa mstukio yameanza kunifelisha mwanetu
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Rasmi kesho naanza ku beti team 1,1
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii michezo hii kona 1 tu yaani kona 1 tu second half team haitoi kona sasa uwanjani walifata nini???
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapq nimeomba kona 1 tu second half hawa wa swiz wanaenda dk ya 85 no kona mamaaee
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asa hivi mwendo wa uwkezaji pesa kuigawa kwa opt unayotaka kubet single team
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sema umasikini na kukosa uthubutu tu. Hapa mtu kama unamtahi wa 1M au una laki laki zisizo na kazi kwa kubeti ki uwekezaji team 1,1 pesa yake si habaa
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Hii inssue ni insider job au kina arsenal na man U wameshiriki hujuma
  9. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Oyaa hatariiii shabiki lia liaaa asa sielewi yaani. NAsikia hiyo ijumaa epl wanweza kutushusha daraja au kunyang'anya ubingwa ya kweli hayo?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mfululizo week nzima hizi game za ulaya first half hakuna Sub wala medical team leo nimeweka no medical team first half nashangaa dk ya 2 mtu kadondoka team imeingia uwanjani. Asa najiuliza ni nguvu inakupelekea uweke hiyo opt au?
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Lengo la kufanya hivyo n nn haswaa?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kmk KKmkmmk dah
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Oyaa yaani kila opt inakataa yaani
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Daah hii inakuja afu inakata. Ina maana wanakuwa wana fake mauzo kwa kuyaongezea thamani au kwa kuyadogosha?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

    Kwann walikiwa wanafanya hivyo sasa?
Back
Top Bottom